Chiligati Kaanguka Tena

dwnmtz

Member
Dec 18, 2007
7
0
Nimesikia kisehemu cha taarifa ya habari televisheni ya taifa leo hii Kpt Chiligati akimtetea Mheshimiwa muungwana ati ana nia ya kweli ya kuushugulikia ufisadi wa EPA kwa kuwaalika wakaguzi kutoka kiwanja, wakati kila mwenye macho anaona kuwa Mh. Muungwana anajitahidi kuufunika uchafu wao.
 
Back
Top Bottom