Child abuse/udhalilishaji watoto...

jamani hii hali inatisha..:(
watu wengi katika jamii zetu tumeingia katika hali kaa hii..........watoto wa kike wanabakwa au kuchezewa bila kuingiliwa na ma houseboy wapo wengi tu na wanaume wanalamishwa kuwachezea au kuwaingilia house girls au jamaa ndani ya familia ni wengi pia...

vipi tunatatua suala hili?
 
suala hili kwa kweli linaota mizizi na ni baya kupindukia...mdogo wangu wa kiume ali kuwa anafanyiwa mchezo mchafu na house girl alikuwa na na miaka mitano house girl alikuwa alikuwa zaidi ya 25 ...siku moja mdogo wangu wa kike alimkuta kamuweka mtoto katikati ya miguu yake (sehemu za siri za mtoto juu ya sehemu zake za siri)...!!

Mimi watoto wangu nawaogesha mimi au baba yao ,basi, hawaogeshwi na house girl isipokuwa mara moja moja pale ambapo hamna jinsi , wakiwa wanavaa nepi, nawabadilisha mwenyewe kila ninapokuwa nyumbani, inanisaidia pia kujua siku yao imeendaje kwa kuona michubuko, vidonda nk

tunaweza pia kuongea na watoto wetu kuwaambia ni sehemu zipi za mwili watu hawatakiwi kuwashika shika, na kama hali kama hiyo ikitokea wafanye nini, na wakitishwa wafanye nini..
 
Back
Top Bottom