Chifu Mwangupili wa Unyakyusa na Ibara 29:3,4

Ogah,

Unafikiri hapo kuna ujanja? Kumejaa ujinga mtupu. Hakuna sababu ya kukimbilia kutibiwa Rungwe. Ni yale yale ya akina JK kuua afya kisha wao kukimbilia Ulaya kutibiwa.

Hapo tumefungwa goli moja na hao jamaa wa Rungwe, inabidi tujibu.

Wewe Ogah unatuonea sana, tutakuzuia usivuke mto Songwe ukielekea ......
 
Najaribu kukumbuka mahali ambapo Nyerere alikuwa anakubali kuvikwa mavazi haya ya uchifu, inawezekana ilikuwepo lakini nimetafuta sana picha sijaziona.

Viongozi wetu siku hizi wamekuwa na tabia za ajabu sana katika kujitafutia milleage, angalia hata wanavyokubali kupokea zawadi kutoka kwa wananchi masikini wa kutupwa vijijini wakati wao (viongozi) wanaogelea katika mapesa
 
Mwanakijiji,

kwanza hilo jina, spelling zake ni MWANKUPILI, ile baada ya 'n' ni 'k' sio 'g', ndivyo linavyoandikwa kule Kyela.

Pili, nadhani haina shida yoyote hicho cheo, ni masifa tu ambayo kimsingi ni 'unafiki' tu, nina uhakika hao wanyakyusa hawamaanishi wanachosema kwa kumpa JK uchifu huo. Tena hatokani na nasaba ya chifu Mwankupili, kwa ujumla hakuna alichopewa.

Tatu, msishangae sasa hivi kwani bado hajapewa 'vyeo' vyote ambavyo 'lobbyists' huwapa watawala. Bado hajapewa degree za heshima, ukaazi wa heshima, kuwa 'mwanaukoo' (ati hata Mkapa ni 'mwanaukoo' wa Nyerere, na kwenye urithi alipewa ng'ombe!), na mengine mengi!

Mwacheni Chifu Mwankupili II afurahie 'title' yake mpya, bado nyingine zinakuja!
 
Mwanakijiji,

nadhani haina shida yoyote hicho cheo, ni masifa tu ambayo kimsingi ni 'unafiki' tu, nina uhakika hao wanyakyusa hawamaanishi wanachosema kwa kumpa JK uchifu huo.

Ohooo, ina maana rais wetu amevikwa kilemba cha ukoka?
 
Mwanakijiji,

kwanza hilo jina, spelling zake ni MWANKUPILI, ile baada ya 'n' ni 'k' sio 'g', ndivyo linavyoandikwa kule Kyela.

Pili, nadhani haina shida yoyote hicho cheo, ni masifa tu ambayo kimsingi ni 'unafiki' tu, nina uhakika hao wanyakyusa hawamaanishi wanachosema kwa kumpa JK uchifu huo. Tena hatokani na nasaba ya chifu Mwankupili, kwa ujumla hakuna alichopewa.

Tatu, msishangae sasa hivi kwani bado hajapewa 'vyeo' vyote ambavyo 'lobbyists' huwapa watawala. Bado hajapewa degree za heshima, ukaazi wa heshima, kuwa 'mwanaukoo' (ati hata Mkapa ni 'mwanaukoo' wa Nyerere, na kwenye urithi alipewa ng'ombe!), na mengine mengi!

Mwacheni Chifu Mwankupili II afurahie 'title' yake mpya, bado nyingine zinakuja!

True dat......
 
Kithuku bwana! Umeniacha hoi! Kwi kwi kwi!!!
 
Kwa hiyo Wanyakyusa (akina Mtanzania) wamekubali Mwangupuli (Kikwete) kuwa Chifu wao!!!!............my God!........i don't want to believe this......kwi kwi kwi kwi kwi

Polepole mkuu, sisi wengine hao ni shemeji zetu tehe tehe tehe tehe tehe
 
Itabidi niandike utenzi wa kumsifia Chifu Mwankupili II... na kuziimba sifa zake kwani anatukumbusha ushujaa wa Mwankupili wa kwanza!!
 
mmh, hata kibadeni ni chifu huko songea.
anaitwa mputa. hivi naye katiba ilivunjwa?
 
“Watu wa ajabu nyie. Dawa mnapeleka Malawi, halafu nyie mnakwenda Rungwe kutibiwa. Kweli ujanja mwingi huondoa maarufu.”

Mara awambie wananchi hawana maarifa, mara awakashfu eti wanaongea kwa sababu "wameshiba ugali na maharage," damn! Talk about political correctness !
 
Kikao cha Bunge kilichopita Spika Sitta alimtambulisha rasmi Bungeni mrithi wa Marehemu Fundikira "chifu" Msagata Ngulati Fundikira.

Je nae kavunja katiba?
 
Last edited:
Tukiachia Mambo ya Katiba etc, ninge penda wale wanao penda kuwa Chifu etc, kwanza waelewe wasifu wa kuwa Chifu, moja ni kuleta Maendeleo, enzi hizo ni Mvua, pili ulinzi, unaweza kushinda vita dhidi maadui wa watu wako au himaya yako, sasa hawa wanao jiita machifu wetu hapa bongo wanasifa hizo? au ndi yale ya King Mswati kununua BMW kwa wake zake wakati subjects wake wapo kwenye Shida?
 
This is rubbish.. hii ni honorific title.. hamna sheria iliyotungwa kumpa cheo chochote.. (not by and Act of Parliament).. It is not hereditary... and has no legal basis.. since the Constitution is a legal document... havina uhusiano...
 
Kikao cha Bunge kilichopita Spika Sitta alimtambulisha rasmi Bungeni mlithi wa Marehemu Fundikira "chifu" Msagata Ngulati Fundikira.

Je nae kavunja katiba?

huyo ndiye yuko karibu zaidi na kuvunja Katiba kuliko wengine.... au wewe unaoneje?
 
mbona mi ni chifu wa wastaaribu
cijatangazwa jamani?????????
 
This is rubbish.. hii ni honorific title.. hamna sheria iliyotungwa kumpa cheo chochote.. (not by and Act of Parliament).. It is not hereditary... and has no legal basis.. since the Constitution is a legal document... havina uhusiano...

ukisoma hiyo ibara kuna sehemu inayohusu uwepo wa sheria na pia uwepo wa watu wenye vyeo, hadhi, na uongozi wa kijadi. Katiba inakata vyote viwili, kuwepo kwa watu hao na pia kutunga sheria kuwatambua..!

sehemu ya 3 inasema hivi:

3) Raia yoyote wa Jamhuri ya Muungano hatakuwa na haki,
hadhi au cheo maalum kwa misingi ya nasaba, jadi au urithi
wake.

Je kuna Raia wa Jamhuri ya muungano wenye haki, hadi, au cheo maalum kwa misingi ya nasaba, jadi, au urithi (machifu, mafumu, sultani) n.k? Je Sultani wa Zanzibar na watoto wake wakitaka kurudi Zanzibar waendelee kuitwa Masultani wa heshima? Katika kuonesha heshima hiyo wapewe mavazi, n.k? Je wakiamua kwa heshima kumvisha gwanda la kijadi Kikwete na kumpa cheo cha "Sultani" wa heshima itakuwa sawa?
 
Back
Top Bottom