Chief Justice: State has removed my security detail:

Hivi huyu jamaa anataka alindwe mpaka lini wakati keshastaafu? Kumpa ulinzi wakati keshastaafu ni utumiaji mbaya wa rasilimali chache za wananchi walipa kodi. Mimi naunga mkono uamuzi wa serikali kwenye hilo.


Mbona EL analipwa na alijiuzulu na analindwa? Wacha hiyo maneneo bana. Magamba ni ni mabaya sana especially usipokuwa upande wao sana.
 
Back
Top Bottom