Chidi Benz kutoboa pua imekaaje?

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Huyu jamaa anaonekana hapa Channel Ten Tigo Music Express akiwa kaweka kipuri puani!Anakiri kuwa katoboa pua mara mbili kwa sababu mara ya kwanzi iliziba!Jamani mwanaume anatoboa pua na kipuri juu!!
 
Huyu jamaa anaonekana hapa Channel Ten Tigo Music Express akiwa kaweka kipuri puani!Anakiri kuwa katoboa pua mara mbili kwa sababu mara ya kwanzi iliziba!Jamani mwanaume anatoboa pua na kipuri juu!!

Wasanii wa Bongo hao!!!! kazi yao kukosoa kazi ya Mungu tu. Wengine kutwa kuvaa uchi kama akina LULU! Sijui ni kwa nini hata wanaume mnawatongoza? Aibu tupu?
 
Juzi nilimsikia Sued Mwinyi wa TBC1 akijibu swali la mwenzake kuhusu Wachezaji soka wa Tanzania wanaweza kujifunza nini kutoka kwa wenzao wa Ulaya; alijibu kwa kejeli sana kuwa wachezaji wetu wanaiga miondoko na uvaaji tu,si zaidi ya hayo!
 
Na waswahili wa Pemba wanajuana kwa vilemba vyao....kutoga pua,mwanaume!

Wapemba hawatoboi pua acheni upotoshaji, labda ungesema wapemba wanawashughulikia watu wanaotoboa pua ningekuelewa!

Chidi benzi amekuwa shoga tu saivi, mwanaume wa kweli hatoboi pua!
 
we unashangaa hilo
hebu cheki huyu nae...
afande_sele.jpg
 
Huyu jamaa anaonekana hapa Channel Ten Tigo Music Express akiwa kaweka kipuri puani!Anakiri kuwa katoboa pua mara mbili kwa sababu mara ya kwanzi iliziba!Jamani mwanaume anatoboa pua na kipuri juu!!

jamaa kama sijakosea kumsikia nimemsikia akisema amefanya hivyo kwasababu MAMA yake ametoboa,tena kasisitiza kwa tabasamu,TAFAKARI,CHUKUA HATUA!!
 
siungi mkono tabia za wanaume kutoga masikio na pua lakini la kuwaunganisha wote kuwa ni mashoga nadhani ni kuwa irrational na kwenda kinyume na misingi ya u great thinker.
Kuna ambao wanavaa za sumaku bila kutoga
OTIS
 
sio kila anayetoga pua au sikio ni shoga huko ni kufikiri kimasaburi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom