Chidi Benz atoboa Pua..

Duh haijakaa sawa kabisa....nilidhani Chidi was more of a hard knock school ama mimi ndo mshamba....:crazy:
 
Dunia yako, Chaguo lako, Chagua kuwa.......

View attachment 50026

















Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Tusiwe na papara tuvute subira hatuelwe nini hasa kilicho mpelekea kufikia hatuwa hiyo, ni mapema watu kuanza kumshuku amekuwa (Jirani)watu wa nchi za magharibi wanamsemo unaosema (utasema vipi jambo au kitu hukipendi kabla hujakijaribu? wakiendea zaidi kwa kusema (You have to try everything once) binafsi nimuonavyo sifikiri kama amekuwa na hisia za ujirani all this time lakini binadamu anasiri nyingi moyoni hapa haieleweki kama ndio anajaribu to come out in that way 2 get where he want to be known.
 
Yapo mabo ya kuiga lakini kwa hili uhuru huu umepitiliza sidhani nch kama Korea zote mbili kuna haya mambo,
siku yaja ambayo hesabu yke haya yote itabidi itolewe
 
Back
Top Bottom