Chezea wazaramo wewe!?!!

Jul 25, 2012
24
2
kweli ktk hi dunia kuna majabu sana na ukiambiwa kua uyaone usidhani maghorofa! ni majabu ya watu hapa duniani.jamaa moja adaiwa kuwa mwzi,kbaka.mdokozi sugu hapo mtaaa mbya zaidi aliwasumbua watu sana kwa tabia yake hiyo mungu si athuman siku moja kakosea njia kazama kitaa ambacho wazaramu ni wengi sana Je! watka fahamu kilicho mpata duh! unaambiwa wazaramu hao hawakumpeleka kituo cha polisi wala hawakutaka kumpiga bali jama aliuawa kwa maneno tu! walimweka kati walimsuta mpaka jamaa/mwizi huyo akafariki
 
Mimi hata kwenye mazishi ya huyo jamaa nilishiriki , tulishamzika keshokutwa!
 
cc si mambo yote halaf wewe de concious memsikia jion mpoki akisema hahaaaahaahh au ndo weweee. Mmmh hii kali
 
Back
Top Bottom