Chezea mume wa mtu??

biggirl

Member
May 25, 2012
66
12
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani ,namhurumia ila sina cha kufanya .wadau mnaojihusisha na hii mambo nawashauri acheni!!!!!!!!
 
Kwanini huamini kuwa ana celebral malaria kali?? Hebu mpeleke akapime malaria bwana acha imani potofu!!
 
wabongo wanapenda sana kula vya watu....juzi kati tu huko kenya kuna jamaa kanasa kwa my waifuu wa mwenzake
 
Hazo haki milki hadi unamfanya mwenzio kichaa mh roho mbaya sana hiyo!
 
Kiraka hamna cha malaria wala typhoid alishaonywa na huyo mdada mwenye mume na mimi nikiwa shahidi kuwa rafiki yangu ataachana na huyo jamaa sasa kumbe walikuwa washachonga mzinga ndio hayo yametokea hayo
 
hii ni kweli au hadithi jamani..maana ts more than just a story
 
Kiraka hamna cha malaria wala typhoid alishaonywa na huyo mdada mwenye mume na mimi nikiwa shahidi kuwa rafiki yangu ataachana na huyo jamaa sasa kumbe walikuwa washachonga mzinga ndio hayo yametokea hayo

Si angemfanya kichaa mumewe, amemuonea dada wa watu kwani alikuwa anambaka mumewe?
Huyo mama ni mwanga anaroho mbaya atawaloga wangapi maana mumewe ni malaya!

Ameolewa na janaume kipanga atulie maana ataloga pasipologeka vimgeukie mwenyewe, hovyo!
 
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani ,namhurumia ila sina cha kufanya .wadau mnaojihusisha na hii mambo nawashauri acheni!!!!!!!!

Mtu mzima hatishiwi nyau; wewe ukitaka mumeo asiangukie kwenye mitego mwonyeshe upendo wa dhati na kumweka kwenye nafasi yake "respect"
 
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani ,namhurumia ila sina cha kufanya .wadau mnaojihusisha na hii mambo nawashauri acheni!!!!!!!!

Binadamu sio kazi yetu kulipa kisasi, hiyo ni kazi ya Mungu. Wanawake, mkiibiwa waume zenu msifanye ushirikiana kuwaloga wanawake wenzenu, Mungu atawapa dawa yao tu tena kali kuliko huo uchizi
 
Angetakiwa kumkomesha mume wake na sio huyo bi dada cause kama ndo tabia ya mumewe atawafanya chizi wangapi?
 
Huyo mwanamama badala ya kudeal na mmewe anahangaika ngoja kipanga mwingine atokee ambebe jumla atajuuta kumfahamu
 
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani ,namhurumia ila sina cha kufanya .wadau mnaojihusisha na hii mambo nawashauri acheni!!!!!!!!

The text reads somewhat true, but it happens (e.g., going mad) only to those who believe in magic powers, which is typical of African context. Consequently, your advice is practical and pertinent!! Men, why let such a stupid and inauspicious behaviour spoil your future and entire life? Please stop.
 
huyo mwanamke atakuwa mchawi na hafai
kwani mume analindwa kwa ndumba?
huyo hana adabu na ataibiwa sana hadi akome
 
Huyo mama aseme asizue kilichomtoa mumewenje, asiende kwa mganga mbona anaenda kuliwa pesa huko,ajiulize kimepungua nini ambacho nje anapata,angekua anampa yanayostahili mumekupesa au angekua anajituma mbona mwanamme vyanje angeviona havina ladha kama vya mkewe? ebu mwambie akaechini afikiri nini alikipunguza mpaka akaenda kwengine,mshamba wa roho huyo....
 
Back
Top Bottom