khaaahaaa............Umenikumbusha story hii;
mtu mmoja alikuwa anakata gogo (aka kupoh/kujisaidia) porini akiwa uchi kabisa.
basi wanyama walipomwona huyo mtu walitimua akiwemo simba.
Basi sungura akamuuliza simba sababu ya yeye dimba (ambae ni mfalme) kukimbia.
simba akiwa anakimbia akajibu:
Tangu kuzaliwa kwanhu sijaona mnyama mwenye mkia mbele.
Daah!! Afu tai yenyewe ina manyoya....