Cheza ubahatike na uwe milionea

BABA JUICE

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
426
52
Hayo ni maneno matamu ya makampuni mengi ya simu hapa nchini. nimetafakari kwa muda je watanzania waliowengi wanafaidika vipi na promosheni hizi za simu au ndio kuzidi kutiana umaskini...wewe unamjua yupi ambae kashinda!ndio wapo sikatai lakini je kuna uhalisia wowote kati ya wanocheza na wanaoshinda! hawa jamaa wapo kibiashara zaidi na kama mtanzania ninae ona mbali nakufumbua macho....makampuni mengi ya simu yapo kibiashara zaidi na wewe ndio unawapa kula. this people are are making alot of money...na hii serikali ya mapimbi imekaa tu kwani kuna ukwepaji wa kodi wa hali ya juu...kuna hii kampuni ambayo kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanao hisa...hii kampuni bwana inakwepa kodi sana....ipo siku utasikia mambo yameharibika its a matter of time...enron...moderator usifute thread yangu coz unazaminiwa na kampuni ya simu.....uninafsi nyuma utaifa mbele. TUJENGE PAMOJA.
 
Y33ah! Ni biashara kaka, maneno matamu always.... Pole, inaonekana ushacheza sana na hujashinda!
 
Wapumbavu mtaji, wajinga mradi, umaskini majuto. Watanzania wengi wamelewa kamali ya Kampuni za simu.

Kuna haja ya kuendesha operation ya kuwaamsha waTZ usingizini. Gambling yoyote ili isurvive ni lazima wanaopoteza wawe ni wengi kuliko wanaoshinda.

Unatuma sms unakatwa 500, mkituma watu Milioni moja je? Mwisho wa cku mshindi anapewa Vitz ya milioni 4, mapesa yenu yote wanajinufaisha wachawi wachache, this is crazy.

Hawa matapeli hawachoki kutuma sms, utashinda x2 acha ujinga, acha kamali wewe.
 
Back
Top Bottom