Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Jk bana,eti mafunzo.zamani tukiwa shule ya msingi walimu walituagiza kamba za ng'ombe na mwiko kama sanaa,eti unawekewa max kumbe baadae inapelekwa sokoni.
Kwahiyo hapo unamaanisha hizo tofali zitakuwa sokoni soon?