Cheza na Alama za Nyakati

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,216
CHEZA NA ALAMA ZA NYAKATI.
1. Wakati Wa FURAHA: Utafurahi na kucheka sana, Kila dakika ya Mawio na Uchweo Tabasamu lako litajionesha katika paji la Uso wako. Waweza Furahi kupita kiasi Usiwe na hisia zingine kabisa, Kila kitu kwako kikawa furaha tu.
2. Wakati Wa HUZUNI: Utahuzunika Sana, Waweza Lia Kiasi kwamba Usifikirie Kuna Siku Majonzi yatakauka, utaishi katika simanzi na majonzi usijue tabu na manyanyaso hayo yatakwisha lini.
Wapo wenzangu na Mimi uhuzunika kiasi cha kuishia kujikunyata asubuhi hadi jioni hata asile chochote..

NI LAZIMA TUCHEZE NA ALAMA ZA NYAKATI:
Tujue Leo tupo Furahani ila kesho twaweza kuwa kwenye Huzuni, Tuipange kesho kuwa ni siku mpya hivyo mambo yanaweza badilika
Tusiwe na hisia za kujikatisha tamaa kwamba sisi ni Masikini kama walivyokuwa wazazi wetu, Tuwe na hisia za kujipa matumaini, kujitia Moyo, Tujaribu kuwa na imani kwani wao wameweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini?
Sisi ni Team Wasaka Pesa.
Tunaapa kutafuta pesa za halali popote pale kwa namna yeyote ile.
Kama unapenda Maisha Mazuri andika SIKATI TAMAA NITAPAMBANA MPAKA KIELEWEKE Eeh! MUNGU NISAIDIE.
 
Ni kwel lowassa ndie rais, tupige kura

Back
Top Bottom