Cheyo aishambulia CHADEMA bungeni

Huyu mzee achana naye siku zake zi karibu , si amemwona mzee mwenzake alivyopewa heshima kwenye kifo chake ,naye anabembeleza hili itakapofika time apelekwe kule jubelee ,hivi huyumzee bado anazo akili

Halafu huyu Mzee majibu na mambo anayofanya hana tofauti na Mabumba yule Mkiti wa bunge.
 
Mkuu haihitaji degree kujua alikuwa anashambulia CDM.Na ndiyo maana kila neno alilokuwa anatamka lilikuwa linashangiliwa kwa mayowe na wabunge wa CCM na CUF

Pamoja sana Mkuu. Nimekusoma.
 
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu".

Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.

Labda anataka u-dc
 
I believe that Cheyo at his old age has lost the vigor to fight and has resort to an old saying that "if you can't fight them join them".
 
kama ndo hivyi basi UDP,nao ni magamba yaani bungeni CDM inaonekana kama chama tawala kuliko CCM sababu vyote vya upinzani ikiwemo CCM wote ni chadema duuuhhh
 
Jamani muacheni Cheyo agange njaa. Unajua alikuwa tajiri akashuka kuelekea masikini wa kutupwa na sasa amepata auheni.Adha aliyokumbana nayo katika umasiki huo alishaapa kutokuiludia hata kama nikunywa damu ya mtu.

Anajua fika asilimia ya kuwakirisha jimbo lake 2015 ni ndogo mno hivyo anatafuta fadhila angalau ateuliwe mwenyekiti wa Bodi ya Pamba
 
Mzee mapesa hana jipya,anajikomba ili afe vizuri na azikwe na magamba
 
Mzee wa no buku no cotton ameshajichokea apumzike salama
 
Jamani muacheni Cheyo agange njaa. Unajua alikuwa tajiri akashuka kuelekea masikini wa kutupwa na sasa amepata auheni.Adha aliyokumbana nayo katika umasiki huo alishaapa kutokuiludia hata kama nikunywa damu ya mtu.

Anajua fika asilimia ya kuwakirisha jimbo lake 2015 ni ndogo mno hivyo anatafuta fadhila angalau ateuliwe mwenyekiti wa Bodi ya Pamba

Mkuu umenena.Point taken.
 
leo nimeangalia itv saa 2 usiku bei ya pamba wametangaza kilo sh mia sita sasa kazi ipo ...cheyo na mtemi walisema bei isipungue alfu subiri tuone kesho
 
Back
Top Bottom