Cheyo aishambulia CHADEMA bungeni

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mbunge wa Bariadi na Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameshambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM bungeni jioni hii kwamba kinachochea mgomo wa madaktari nchini na kinapaswa kuacha mara moja.

Cheyo pia ametumia muda mwingi kusifu hotuba ya Rais aliyotoa kuhusu madaktari na akaomba wananchi wote wamuunge mkono Rais kwa hotuba yake nzuri.

Kwa maneno yake hayo ya leo Cheyo anaungana na wabunge wa CCM na CUF kushambulia CDM bungeni huku wakiihami Serikali.
 
Sasa unategemea Cheyo atetee upinzani? Akikosea tu ubunge hana.

Vijana jitayarisheni kuwaondoa wazee waliozidi miaka sitini na tano wapumzike jamani. Zile siasa za mwalimu za mwaka 47 za kudanganyana zimepitwa na wakati. Vijana Tafakani ndio wakati wenu mchukue hatua, shauri yenu mtakuja kulaumiwa.............
 
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu".

Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.
 
Huyu mzee baada ya kusaidiwa na CCM kunusuru nyumba yake isipigwe mnada kule masaki basi amekuwa kibaraka wao, Hajui madaktari ni watu wenye akili zao na IQ kubwa, hawahitaji CDM au taasisi yoyote iwafundishe kudai haki haki zao - na hili watu wengi hawalijui kabisa kwamba serikali ina deal na professional people wanaojua wanafanya nini na kwa wakati gani.
 
Sasa unategemea Cheyo atetee upinzani? Akikosea tu ubunge hana.

Vijana jitayarisheni kuwaondoa wazee waliozidi miaka sitini na tano wapumzike jamani. Zile siasa za mwalimu za mwaka 47 za kudanganyana zimepitwa na wakati. Vijana Tafakani ndio wakati wenu mchukue hatua, shauri yenu mtakuja kulaumiwa.............

Unaweza kushangaa siku ile ya kupitishwa bajeti ni yeye pekee tokea upinzani alisema NDIYO.
 
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu". Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.

Hawa wazee wanafiki tu, kama watanzanaia wengi tulivyo, kind of backbiting!! Anachoongea siyo lazima ndio kiwe msimamo wake!
 
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu".

Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.

Mkuu haihitaji degree kujua alikuwa anashambulia CDM.Na ndiyo maana kila neno alilokuwa anatamka lilikuwa linashangiliwa kwa mayowe na wabunge wa CCM na CUF
 
Huyu mzee achana naye siku zake zi karibu , si amemwona mzee mwenzake alivyopewa heshima kwenye kifo chake ,naye anabembeleza hili itakapofika time apelekwe kule jubelee ,hivi huyumzee bado anazo akili
 
Njaaa mbaya sana
Njaa na upungufu wa mawazo. Doctors ni watu wenye upeo mkubwa wa kuchambua mambo na hawawezi kushinikizwa kugoma. Jamani nani anadhani kuwa Drs wanalipwa REASONABLY?
tuwe wawazi tu kuwa bila kupandisha mishahara yao sana basi uwezekano wa mgomo huu kujirudia ndani ya mwaka mmoja ni mkubwa sana!
 
Mzee ameshajichokea huyo!
Siwezi kumshangaa kushambulia cdm
 
Lakini mbona sikumsikia akitaja neno CHADEMA jamani? Alichosema, "vyama vya siasa tujiepushe na mgogoro huu".

Hata hivyo jamaa ni totally affiliated to magamba. Sijui kwa nini anajikomba hivyo kwao.

Hapo kwenye red, upo sahihi kabisa. Hata mimi nimemsikia na ameongea kwa kifupi sana. Nadhani mleta thread anasababu zake binafsi. Inaonekana either ni kuleta propaganda za ccm kuhusu mgomo wa madakitari au anataka kumgombanisha cheyo na cdm. Na huu ni upuuzi kwa gt!
 
Mbunge wa Bariadi na Mwenyekiti wa UDP John Cheyo ameshambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM bungeni jioni hii kwamba kinachochea mgomo wa madaktari nchini na kinapaswa kuacha mara moja.

Cheyo pia ametumia muda mwingi kusifu hotuba ya Rais aliyotoa kuhusu madaktari na akaomba wananchi wote wamuunge mkono Rais kwa hotuba yake nzuri.

Kwa maneno yake hayo ya leo Cheyo anaungana na wabunge wa CCM na CUF kushambulia CDM bungeni huku wakiihami Serikali.

....

Mzee mapesa!!

Huyu mzee ukimuangalia tu, unagundua kuwa anamatatizo makubwa ya mbongo!!

Mpaka sasa hivi nenda Dododma ndiye mbunge anayeongoza kuchuka machangu wadogowadogo kwenye vilabu vya usiku!!!

Unategema akili hapo!!

..
 
Kweli Tetty maana Cheyo anawakilisha familia yake sidhani kama anawakilisha chama maana kama ni mikutano ya hadhara nadhani huwa anafanya Bariadi tu na si sehemu nyingine
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red, upo sahihi kabisa. Hata mimi nimemsikia na ameongea kwa kifupi sana. Nadhani mleta thread anasababu zake binafsi. Inaonekana either ni kuleta propaganda za ccm kuhusu mgomo wa madakitari au anataka kumgombanisha cheyo na cdm. Na huu ni upuuzi kwa gt!

Cheyo huyu aliyesema NDIYO siku ya kupitishwa bajeti agombanishwe na CDM? Huyu mamluki wa CCM hana hoja yoyote hapa.
 
....

Mzee mapesa!!

Huyu mzee ukimuangalia tu, unagundua kuwa anamatatizo makubwa ya mbongo!!

Mpaka sasa hivi nenda Dododma ndiye mbunge anayeongoza kuchuka machangu wadogowadogo kwenye vilabu vya usiku!!!

Unategema akili hapo!!

..

Kwi Kwi Kwi....Eti ni mwenyekiti wa chama cha upinzani.
 
Back
Top Bottom