Cheni ya kunogesha Penzi

Cheniiii? Manguvu ya giza mwisho wa siku itakula kwako.... shetani hana zawadi ya buree... you must pay for it!!
 
Vivian kumegana kuna raha yake acha tu,naona unataka kuongeza manjonjo ya kiuno.
Mtoto anamegwa hadi anaanza kuimba ghafla tu kiuno,kiuno kanipa mama kiuno kiuno,unamuuliza vipi hata la kujibu ana,anabaki anashangaa shangaa tu,huku akiendelea kuimba.acha kabisa aya mambo mhhhhhhhhhh.

Mhh!!!!!
 
Jamani natafuta hii cheni,

Ni duka gani hapa Sinza naweza pata hii Cheni jamani.

Natanguliza shukrani na ninawatakia weekend njema madadiito na mamito!!!

Mdogo wangu, achana na mambo ya Sinza; njoo huku kwetu mjini Namanyere kuna sonara mzuri tu ana anakuchongea mkufu, anauzindika na dawa ya hapa mjini, mtu hawezi kuuiba, zindiko linaufanya unakuwa mzito tani moja, hawezi kuuchukua. Wasemaje???
 
mama mdogo umenichekesha sana.

The smaller the chain, the more the enjoyment
 
haya vivian, hilo nalo ni neno, jamaa asipate sababu kwa nini asinaniiii vinane kwa usiku mmoja.
 
mama mdogo umenichekesha sana.

The smaller the chain, the more the enjoyment

Usikonde, mikufu midogo ipo tele hapa namanyere (Rukwa); na zindiko la chain isiibiwe, ni option tu, usikwazike na utamaduni wa huku!!! Mkufu wa Kiunoni I.jpg
 
kuna kila aina ya cheni za hilo suala sijui unataka ya wamasai,ya wahindi,ya kuchonga kwa masonara au ...lakini ushauri wangu zile za kimasai ndio zenyewe haswaa ukijua kupangilia rangi zake ...
 
Back
Top Bottom