Chenge sues NBC for Sh310m

Vipi kama vyombo vya dola ndio vvilichukua bank statement kipindi cha uchunguzi?
 
“Reasonable presumption cannot ascribe any other source other than your bank for the disclosure of the information. No stranger from outside the bank could have compiled such a long and accurate list,” the minister states.

Hapa Chenge ana kazi ya kufanya. Vipi kama alipewa bank statement na hakuiweka vizuri? Na vipi kama ATM card yake anashare na mtu mwingine? vipi kama walipewa watu wa usalama au SFO na wao wakavujisha?
 
Mkuu hapa tupo pamaja. Hili ndilo lilipaswa kufanyika. Nahakika AC hana maelezo ya vyanzo vya fedha alizonazo zaidi ya wizi. Yaani kuna vitu vingine viko wazi mno kiasi ambacho mtu huhitaji nguvu nyingi kufikiri na kujua kinachoendelea. Kwa ujumla huwa nakosa majibu ya maswali yafuatayo:-

1. Ni kwa nini basi mtu huju hachukuliwi hatua za kisheria?.
2. Je ni picha gani serikali inawapa wananchi wake kwa kuendelea kukaa kimya?.
3. Uko wapi utawala bora?

Nadhani tumenza kusahau story hii. Mwanahalisi walisema kwamba fedha hizi zilikuwa za Tangold ingawa zilikuwa kwenye akanti ya Chenge! Nadhani swali la kuuliza ni je inakuwaje pesa za kampuni ya "umma" zinawekwa kwenye akaunti ya mtu binafsi hata kama ni mkurugenzi wa kampuni? Kama sikosei kuna waliolipwa kutoka akaunti hiyo ambao inasemekana walilipwa kwa sababu za kisiasa. Hii ni "EPA" namba 2.
 
Hospitalkinamama.jpg

Chenge amewaibia hawa fedha akapeleke nje kuzificha Ughaibuni! Na zingine ndizo hizo wanahabari walizing'amua NBC. What moral authority Change has to claim NBC has breached its ethics. Shame on you Chenge! Do you have conscience at alll! Do you dare to claim that money! CCM has given you this much imprudent and shameless pride!... Shame on CCM too!!!
 
Hapa Chenge ana kazi ya kufanya. Vipi kama alipewa bank statement na hakuiweka vizuri? Na vipi kama ATM card yake anashare na mtu mwingine? vipi kama walipewa watu wa usalama au SFO na wao wakavujisha?

You are darned right!!! Hawezi kushinda mbele ya ma-lawyer wa NBC. Anajikurupusha tu ili wananchi wawe wanafikiria zaidi kesi hii aliyofungua kuliko hujuma kubwa alioifanya mbele ya WaTz. lakini tatizo hapa ni miguu ya JK ambayo hugeuka ya mpira (rubbery legs) kila anapotakiwa kuchukua hatua dhidi yake na dhidi ya RA (kuhusu Kagoda).
 
Naona aibu.

Ninafikiri ingekuwa vizuri statement kamili na hasa entries za hivi vijisenti ingepatikana. Je nani kaweka?

Natamani mungu angewapiga radi hawa wote wahujumu uchumi. Bibi na ndugu zake Chenge wanahangaika sana kule bariadi. Kuliko kuweka benki si ingekuwa vizuri kama hata akaizungusha kule kijijini kwake? Alaaniwe
 
Back
Top Bottom