Chenge, StarTV na Utaalam wa kisasa

Mkuu korosho, asante kwa hii habari, imeondoa hisia za udaku.

Hivi kweli hakuna sheria zinazotoa adhabu kwa kufanya vitu vya kishirikina? kama hazipo basi Mhe. Spika atoe wazi jambo hilo, picha hizo ziruhusiwe kurushwa ili wananchi tutoe hukumu kwa huyu shirikina asiye na haya. Kweli mafisadi wamebanwa.
 
Kuhani Mkuu yuko wapi jamani, naona leo hii atakuwa na deni kubwa kwa Enigma..... ;)
 
And then Cut One Go.........!

Ni mpaka Mkuu Kinepi alipopiga simu kuuliza swali husika: Je, umeuona mwili wa marehemu? Hiyo ndio ishu! Ni investigation ya Kinepi ndio inatuambia padre anasema "mimi ndio niliombea nilichoambiwa kwamba ni maiti." Ukisikiliza kwa makini kinachosemwa hapa, ni kwamba Padre anakubaliana na sisi, kwamba jamani eeeeh! God knows what was inside that big box! I may be a Priest, but I can't see thru wood, and I couldn't tell ya!
Ha ha ha aaaaaaaaa ........ This is just hilarious!

Kinepi, babu kubwa mtu wangu! LOL!

But wait a minute, Cut Two Go..............!

I believe that most conspiracy theories are simply absurd. The idea that Anna Muganda has feigned his husband's death, that she planted a phantom body in the casket and took it to church, and lied to her friends and Government officials about all this thing, I think is extremely far-fetched, if not preposterous. I just don't fall for such home-made "dataz" without sensible substantiation.

Aaaaaaaah! this is Hilarious
 
Kuhani Mkuu yuko wapi jamani, naona leo hii atakuwa na deni kubwa kwa Enigma..... ;)

Niko ndugu yangu, naangalia kule jinsi the perspicacious Pundit anavyo kataa kiume kukubali kwamba hoja zake are too complicated for Jamii Forums, kwenye ishu ya "Fallacious assumption ya 'Siasa ni nini' = fallacious conclusions ya umuhimu wa siasa."

Ni jambo hili hili ninalolisema kuhusu habari za kichawi na kidaku daku: kukataa ku damn down the jamvi kwa kutumia nadharia inayosema "hatutaki academic arguments hapa," kwamba hii ni baraza la kahawa tu, hoja za kinaa, kizushi, kioja, kivumi, na kiongo zote cha mbele!

Na hapa nimesogea pembeni kwa sababu wanasema kwamba nisipambane na Waandishi wa JF. Wanasema hii sio CNN, FNC na New York times.

Kwa hiyo mnasema, "tuache wenyewe na hoja-vioja vyetu."

SteveD, usithubutu hata siku moja ku diverge jina lako la ukweli halafu watoto wa watoto wako wakaja ona Babu alikuwa anafikiri hivyo! Ni soni ya kifikra, kwa sababu unatukana kichwa chako mwenyewe!
 
Niko ndugu yangu, naangalia kule jinsi the perspicacious Pundit anavyo kataa kiume kukubali kwamba hoja zake are too complicated for Jamii Forums,

Kwanza mi nasikitika vibaya mno nimeanza kusifiwa sifiwa hapa JF. Inaninyima uhuru! Sitaki kasifa wala ka status hapa JF. Nilisema toka mwanzo sikubali kiutamaduni wala ki pecking order cha hapa.

Ooooooh! more Hilarious, sasa I am out and for real!
 
Kuhani Mkuu.. nadhani umenielewa vibaya kabisa nilichokisema. Hapana mkuu ninachosema ni "hoja hujibiwa kwa hoja"... lakini kuwa JF siyo CNN au FNC ni kweli... we are not.. hii mzee ni forum, it is not a newspaper, not a TV channel lakini kwa namna yetu wenyewe tunaleta habari... na hata hoja za kijinga zina nafasi (vinginevyo tutajuaje kama ni za kijinga). Na ni kweli JF is not an academic forum or an elite gathering of people and i beg you and others never to turn it into one.

Lakini haina maana mijadala ya kisomi au intellectual exchanges haziruhusiwi bali tusifanye kwamba wasioweza intellectual exercises and academic discussion wajione duni kwani JF imekuwa ya wasomi. Ni kwa sababu hiyo binafsi nimejifunza kuangalia hoja kwa hoja, hata hoja za kipuuzi, nikiona hazina msingi hata kuchangia sipotezi muda, nikiona ni za udadisi nadandia, na nikiona zinahitaji data za kisomi basi I do my homework. Lakini tusifanye "kila" kitakachosemwa hapa has to pass a certain litmus test of its acceptability...
 
Dear Members,
This thread will temporarily close for moderation, please bear with us. Thank you !
 
Mkuu Enigma,

Ulipozitoa hizi dataz wengi walikataa na kubisha sana, nikawaaacha kwanza mpaka palipotulia na nikaja nikiwa mtu wa kwanza hapa JF na kusema hivi:-

Field Marshall ES : JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Apr 2006

Re: Chenge, StarTV na Utaalam wa kisasa

Mkuu Wangu Enigma,

Heshima mbele bro, sasa lete more dataz maana kuna tunaofuatilia na tunajua kuwa zina ukweli mtupu, tena 100%, weka vitu mwanangu!

Lakini tulikuwa tumenyamaza kwanza ili tuwape mabingwa wetu wa uchambuzi nafasi kwanza hapa naona wamemaliza tayari sasa weka vitu, Lete vitu mwanangu, letaaa dataz!

Sasa wakuu ni lazima sometimes kuwekana sawa inapobidi, kwamba huwa hatukurupuki hata siku moja, tunapotoa dataz au kzuisema dataz huwa tunakuwa na ukweli, hili limekuwa gumzo kubwa sna hapa for the last three weeks kuhusu ukweli wa dataz zetu na credibility,

sasa ni vitu kama hivi ndio vinasema ukweli wetu, sasa inapotokea wale mnaotushambulia wewee muwe basi na ustaarabu wa kukubali hapa kwenye public, badala ya kunyamaza kimyaaa! Huwa hatulishi watu sumu hapa kama tunavyosemwa, ila huwa ni dataz zenye ukweli tupu na mfano mmoja wapo ni huu hapa juu!

Ahsante Wakuu Wote Wapenda Ukweli!
 
Mkuu Painkiller,

Heshima mbele bro, I got you kwamba umefuta some of my comments ambazo hazikuwa matusi, sasa ninashukur kwamba ukefanya hivyo mbele ya this public na hata siku moja siwezi kulalamika ninaamini umefanya hivyo kwa kujali masilahi ya JF,

Lakini ninakutahadharisha tu kuwa, kesho na keshokutwa utakapofuta ya hao watu, kusiwe na kilio cha kwamba kuna watu wenye nguvu hapa JF maana hiki kitendo chako ambacho ninakifurahia sana ni mfano tosha kuwa wote hapa tuko sawa hakuna mwenye nguvu kuliko mwingine! Maana ni jana tu tumesikia hivi vilio, yote uliyofuta sijamtusi mtu ila nilikuwa nina-expose unafiki tu wa mtu mmoja kutumia majina mengi kudanganya watu hapa, that was my point!

Otherwise, tunaendelee kukata ishus, respect mbele!
 
Thanks for your understanding. Have a great day !
 
Nasikia harufu ya kupoteza lengo halisi. Ama unafanywa kwa nia ya kuondoa hofu kwa Wabunge ama unafanywa kwa nia ya kuondoa umakini katika suala zito. Inawezekana kwamba MAFISADI baada ya kuona wanajulikana wakaona habari hizi zielemee zaidi katika USHIRIKINA na kukwepa kabisa uwezekano wa kuwapo SUMU KALI inayoweza kufanya kazi polepole kati ya saa 48 hadi hata miaka miwili kabla ya kuleta madhara kwa binadamu mlengwa. Katika habari za magazeti hakuna hata moja lililoonyesha uwezekano wa kuwapo SUMU na badala yake wameelemea zaidi kwenye ushirikina. Kwa taarifa yenu Dk. MWakyembe haamini hata kidogo kuwapo ushirikina na ndio maana alipelekwa zahanati ya Bunge na baadaye DSM kwa uchunguzi zaidi na si kwa SANGOMA. Kwa kauli yake amesema kwamba anaangalia uwezekano wa kufanyiwa uchunguzi wa kitaalamu zaidi kuona kama kuna kemikali ama sumu iliyopenya mwilini kwake. Nashangaa hata mchangiaji mmoja humu anataja KIBUYU kitu ambacho hakikuonekana kabisa. JAMANI NILIKWISHASEMA awali, tuangalie kwanza suala la UCHAWI wa kizungu kabla ya kuingilia huo wa kwetu wa KIAFRIKA. KWanza Chenge kama ni uchawi wa KIAFRIKA asingekuwa na sababu ya kuingia ukumbini akisindikizwa na Ofisa wa Bunge. Kama kweli anaamini uchawi angefanya huko huko kwao akiamini utawafikia walengwa bila hata ya kugusana nao wala kumwaga katika viti vyao. Lakini pia kwa wanaoamini uchawi, inawezekana kwamba imani za uchawi zimemsukuma kuamini kwamba hataonekana!!!!! Lakini jambo la msingi tuangalie afya za viongozi wetu bungeni. Jambo la mwisho ni kwamba pamoja na ulinzi mkubwa uliowekwa pale Bungeni, kuna udhaifu mkubwa katika huo ulinzi na siku si nyingi tutasikia taarifa zitakazoelezea udhaifu huo kutoka kwa mwanasiasa mmoja atakayeanika udhaifu huo kwa ushahidi.
 
Huyo Chenge bado anaendelea kusumbua na bado ana mambo ya zamani.Kwa nini magazeti yanaficha ukweli kama kweli alionekana kwa nini hawamtaji jina na kweli ameonekana.Lakini tumeshamjua ni CHENGE.atakoma safari hii,kumbe elimu yake haimsaidii!jamani pamoja na Harvard yake?Aibu kwa huyu muuaji
 
Heshima mbele kwa wakuu wote hapa JF, naomba kuweka wazi na mapema kuwa huyu bwana anayejiita jina kama langu sio mimi, naona ameamua kujiiita field marshall, lakini mimi ninaitwa Field Marshall Es,

Ninajua tayari ni nani huyu na sababu zake nazijua tayari, lakini sina noma ila ni lazima niweke wazi hapa kuwa mimi sio yeye, maana mimi sina huo mchezo wa kuingia na ID zaidi ya moja, na sikuhusiki in anyway na any responsibility ya maoni au mawazo yake,

na ninamuomba aelewe kuwa jina langu la FMES ni pamoja na biashara behind it sasa sio jina tu ni signature kubwa sana na I have worked so hard kulifikisha lilipo, hapa JF huwa ninajitolea bure, lakini sio nje ya hapa, nilitaka tu hilo lieleweke wazi kwa wakuu wote hapa maana naona ndio kwanza ana post moja, ni vyema kufahamishana mapema, na ninamtakia mafankio mema hapa ndani ya JF!

Ahsante Wakuu!
 
Imeeleweka Kamanda!
:D :D
 
Tumekupata mkuu....Naona anafrahia sana mchango wako hapa JF ndo maana anataka naye aitwe jina kama lako kamanda.Tunapenda kumsihi alitumie vizuri na si kwa masirahi binafsi.
 
Heshima mbele kwa wakuu wote hapa JF, naomba kuweka wazi na mapema kuwa huyu bwana anayejiita jina kama langu sio mimi, naona ameamua kujiiita field marshall, lakini mimi ninaitwa Field Marshall Es,

Ninajua tayari ni nani huyu na sababu zake nazijua tayari, lakini sina noma ila ni lazima niweke wazi hapa kuwa mimi sio yeye, maana mimi sina huo mchezo wa kuingia na ID zaidi ya moja, na sikuhusiki in anyway na any responsibility ya maoni au mawazo yake,

na ninamuomba aelewe kuwa jina langu la FMES ni pamoja na biashara behind it sasa sio jina tu ni signature kubwa sana na I have worked so hard kulifikisha lilipo, hapa JF huwa ninajitolea bure, lakini sio nje ya hapa, nilitaka tu hilo lieleweke wazi kwa wakuu wote hapa maana naona ndio kwanza ana post moja, ni vyema kufahamishana mapema, na ninamtakia mafankio mema hapa ndani ya JF!

Ahsante Wakuu!

Mkuu FMES tumekupata na hata tone yako,madaruga,buti, njumu, hapa uwanjani imetukaa tunaijua.Hata wanaotumia majina mengi mbona hujulikana tu.Kuna vingine tunapuuza na safari inaendelea.kaza buti mwendo mdundo tu
.
 
Nashukuru kwa mada hii. Napenda kuwakilisha kama ifuatavyo.
Kwa kiasi kidogo cha uwezo wangu wa kielimu ninakautaaramu kadogo ka masawala ya ujenzi wa Jengo letu la Bunge.

Kwa leo napenda kuwakilisha sehemu moja tu ya hilo jengo inayohusiana na maswala ya Usalama wa kisayansi. Kwa wale waliowahisoma maswala ya Ujenzi kuna majengo yanaitwa "intelligent Buildings" kwa Tanzania naweza sema yako Mawili kwa ilikowahi tembelea nayo ni Ubalozi wa Marekani na Ukumbia wa Bunge.

Mfumo mzima wa Mawasiliano/Utambulisho katika Bunge yako hivi.
1. katika Meza ya spika kuna screen inayomwonyesha wabunge walio hudhulia
2. katika meza ya kila mbuge kuna machine/card reader ambayo kila mbuge anasign kwa kutumia card kuwa amehudhulia kikao, na inamtaarifu spika hapohapo kuwa mbunge huyo kuwa yupo.
3. Katika meza ya kila mbuge kuna batton ambayo mbuge huibonyeza ili kucontrol camera zilizo ndani ya bunge
4. Kuna camera za aina mbili ndani ya bunge (i) za usalama (ii) za wanahabari-hizi huwa haziamishwi, ni mali ya bunge.

Nawakilisha, ufanyikazi wa hivi vifaa.
Hizi kamera huwa ziko on mda wote kurekodi matukio yanayotokea ndani ya Bunge, za usalama na za wanahabari. Kinachofanyika ni kuwa mwanahanari anakuja na memory stick/flush disk au external drive anakopy information anazotaka na kuondoka. Hivyo sishangai kusikia wanahabari wa star tv wanayo hiyo picha ya tukio. Hawa tunawaita ni "wachokonozi" kiswahili kipya.

Mbunge anapopewa nafasi ya kuongea huwa inaminya batton ililyoko mezani na camera automatically inahamia kwake na kuchukua tukio zima. Unaposhangaa kusikia kuwa star tv waliingia vipi na kamera Bungeni, naweza kusema huo ni uelewa mdogo wa kisayansi mtu alio nao. Kwa dunia ya sasa sio ya kusha maana vitu vinaundwa kila siku.

Nahisi wanahabari wa star tv waliipata hii infor either kabla haijahamishwa au kufutwa katika mtandao wa kiusalama ndani ya Bunge ndio maana vyombo vingine havikuweza pata hiyo infromation
Au inawezekana hiyo infor bado ipo ila uelewa mdogo wa wanahabari wa vyombo vingine katika maswala ya kisayansi nimdogo kuweza kuyatafuta katika huo mtandao.

Nafikiri tutaendele kupata mengi, na kwa kuwa huyo mshirikina alisogea kwa mzee wa Tabora naasivyokuwa na dogo ya tamtokea puani, mpaka kieleweke.

Napenda kuwakilisha.
 
Back
Top Bottom