nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
kwa huyu Werema hapa nitamlaumu aliyemteua kabisa....maana huyu anakuwa kama rubber stamper wa kupindisha vifungu vya sheria.......kweli tuna shida kubwa sana TZ....we angalia...bunge linalotunga sheria linaongozwa na kilaza Makinda.....hapa kwa AG kuna huyu kilaza Werema.....yaani ni shida kubwa..ndio maana tunasema kuna haja kwenye katiba mpya kuweka kabisa wazi njia ya jinsi ya kuwapata hawa watu....hizi teuzi tata hizi zinaligharimu sana taifa......