Elections 2010 chenge na mramba!!!!

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Tunaomba walio na mamlaka wawanyang"anye pasi za kusafiria kwani tuna mashtaka nao,
tunataka kumfilisi na kumlisha nyasi mr mramba, chenge tumfilisi vijisenti na kumcharaza bakora kwa kutuaibisha machoni pa jamii ya kimataifa.
 
Ni issue ya kusikitisha na mtu mnafiki utamjuatu.hebu ona leo jk kaagiza jamaa yao mramba apelekwe kisutu mahakamani hadi comedy wameitwa kuigiza, hapo anajishaou kwa wahisani ili wamwage euro, dola,paundi na kadhia akijidai anapambana na mafisadi.wakati wa kura kaonekana akiwanadi kuwa nmramba ni mtu safi.tena chenge yeye kaonekana saaafi hadfi ni mwenyekiti wa kamati ya maadili ya chama chao!
 
Punguza jazba kijana ila kwa Mramba atakuwa Kenya si unajua kule Rombo Kenya waenda kwa mguu
 
si jazba kaka, anatakiwa ku-test ladha ya nyasi, si vinginevyo.
kilicho kizuri zaidi ni kuwa watetezi wa kiwira sasa wanapungua, hawana nguvu mbele ya wapiganaji wenye silaha za ukweli (akili) waliotumwa na nguvu za wananchi.
Peeeeeeeeooooooooppppppppllllllllllleeeeeeeesssssssss ........
 
Back
Top Bottom