Chenge lazima alindwe - anazisetiri awamu tatu.

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,059
22,755
Anazisetiri awamu za Mwinyi, Mkapa na Kikwete - ni kama vile anazo funguo za strong room kwenye benki zinakotunzwa nyaraka nyeti za CCM na serikali yake.
 
Back
Top Bottom