Elections 2010 Chenge hataki kusign matokeo

Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge:sad:

Nguli Heshima mbele mkuu,

Umenifanya nikapiga kelele ya " wera wera weraaaa!!!!!!" mpaka watu wakadhani nimechizika.

Itakuwa safi sana kama huyu jamaa kapigwa chini, mungu mkubwa.

Wao wanapesa sisi tunamungu

Pesa Vs Mungu.
wewe acha tu mwaka huu raha tu hata tusipopata huo urais poa wataipata bungeni halafu tumechukua sehemu nyeti yaani zile centre mfano Arusha, Moshi,Mbeya mjini, Ilemela,Musoma......
 
Kweli aondoke na akwende kula visenti vyake, hana huruma kabisa na wanyonge masikini, ningekuwa na uwezo ninge mpiga kile ki papapapapapapayyyyyyy:bowl:
 
These are the rotten folks napenda tupige chini kwa nguvu zote. Jamaa mchafu ile mbaya. Nashangaa hana hata haibu ya kuomba ubunge tena. Duh. Yataka moyo!
 
hana aibu huyo ni kupigwa chini tu huyo, ni wakati wa kuvitumia vijicent hivyo. Kushindwa kwake ni gud news kwangu
 
Anakataa kusaini kwani jimbo hilo alishalifanya ni mali yake binafisi. Na atambae zake kule. Alaaaa!
 
Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge:sad:

chenge.jpg

To him money is everything. Segerea is where he deserve.
 
Back
Top Bottom