Chenge found guilty of accident

cray

Senior Member
Nov 2, 2010
171
10
Hatimaye Mahakama imemkuta Chenge kua na hatia ya kuua watu watatu baada ya kuwagonga na gari lake alilokua akiliendesha.
Je naomba mchango wenu, Kwakuzingatia adhabu aliyopewa na mahakama kulipa faini 700,000Tsh au kwenda jela miaka mitatu, Je mtuhumiwa anaweza kuruhusiwa kugombea nafasi yeyote katika ngazi yoyote ile? Je kwakua amekutwa na hatia, bado anaweza endelea na nafasi aliyonayo?
 
Back
Top Bottom