Chenge do me a favour - sit down and shut up

You are quite unfare to the old man and the people who elected him. You might be nursing a grudge over the old man, but you have no right to generalise your stance to all of us. Let the old man air his views and the views of the people he represents in the parliament.

wewe naona una muda wa kuchezea. you want seat down and listen to chenge speaking?
I will listen to his confession speech not more.
 
Surely, its disgusting seing this mzee giving contribution in the parliament.
What the hell do you wanna try to tell Tanzanians, WE HATE YOU, You are among the person who played a massive role sinking this country into total darkness. PLS PLS PLS UKIWA BUNGENI KAA, SIKILIZA, CHUKUA POSHO ZAKO NENDA UKALE BATA BUT NEVER EVER CONTRIBUTE ANYTHING. The entire contribution was merely bizzare stories.

NE kweli bwana hata mimi kaniudhi sana, anatetea mafuta ya taa yapande wakati jimbo lake zaidi ya asilimia 90 hawana umeme sasa sijiu anafikiri watu wa huko watapataje mwanga, wananchi wake wamejitutumua wamejenga shule za kata hao wanafunzi wataweza kusoma kweli kama mafuta ya taa nayo yatapanda.

Mizee mingine haina huruma kabisa, watu wa Bariadi wangejitahidi tu uchaguzi ujao wasimrudishe huyu mzee.
 
Mi ndo nawashangaa badala ya ku defend hoja wana anza piga hadithi za lugha. Shortly ni kwamba yule hafai kwa Taifa hili labda huko Bairiadi may be he is perfoming some petty stuff

Mimi sitoki Bariadi lakini nina ndugu wengi na marafiki wengi wanaotoka Bariadi hata mimi pia nimefika baadhi ya vijiji vya wilaya ya Bariadi, hakuna barabara ya lami hata moja na kuna moja ambayo alikuwa na mpango wa kuijenga wakati alipokuwa waziri wa miundo mbinu, ile ya kutoka Shinyanga kupitia Bariadi hadi Ramadi na kuungana na barabara ya Mwanza-Musoma, kwa ujumla maisha ni magumu.
 
Halafu ndugu tumia akili kidogo, mimi namsemea Chenge kwa position aliyoshika na akiliingiza TAIFA katika matatizo. I hopo you remember this gay was AG for some years. Kama hujui hii mikataba yote ya madini mibovu ilipitishwa kipindi chake.

Kama watu wa Bariadi wanamkubali kwasababu ya kuwajengea soko la samaki pale Bariadi mimi sifaidiki nalo.
Honestly huyu mzee hatakiwi kutoa mchango wowote pale bungeni sababu usitegemee kitu chochote kipya toka kwake.
Tatizo unatumia hisia kujenga hoja matokeo yake unaishia kutukana wenzako, kwani wewe kuleta hoja zako zenye chuki umetumia akili kubwa kiasi gani? Hata kama wewe humpendi huna haki ya kutulazimisha wengine tusizisikilize hoja za mzee huyo. Lini alipelekwa mahakamani na kuonekana na hatia ya hiyo mikataba unayoisema. Heshimu mawazo ya wenzako hata kama huyapendi badala ya kutukana kwamba hatutumii akili.
 
Umesikia mchango wake au unaongea kishabiki tu. Kimsingi kaongea vitu vya maana sana kuliko hata hao kina tundu Lissu wanaoleta uanaharakati usio na maana. Hata kama ana tuhuma hiyo haiwezi kufanya hoja zake zikose nguvu au mantiki. Ni busara kumhukumu mtu kwa historia yake hoja zake. Huu ni umaskini wa fikra.

Mimi nimemsikiliza mwanzo hadi mwisho, tuambie kitu gani chenye manufaa kwa wananchi ameongea, alipokubaliana na hoja ya serikali kwamba mafuta ya taa yapandishiwe kodi hapo ndo kaharibu kila kitu, kumbuka anatoka jimbo ambalo watu asilimia kubwa hawana umeme, unatarajia watatumia nini zaidi ya hayo mafuta ya taa.

Mimi mwenyewe ni wa huko ingawa sio Bariadi, kuna kitu kinaitwa Chenge kama jina lake huyu mzee, jinsi chenge inavyotengenezwa unachukua mti ambao urefu kama mita moja unafungia nyasi kavu then wakati wa usiku unawasha hizo nyasi tayari kwa kukupatia mwanga nadhani labda anataka wananchi wake waendelee kutumia hiyo technolojia ili jina lake liwe linatajwa mara kwa mara. Maana kama kibatari hakina mafuta na hela hakuna utasikia, Masuke tengeneza chenge hiyo tuwashe.
 
wewe naona una muda wa kuchezea. you want seat down and listen to chenge speaking?
I will listen to his confession speech not more.
Nibusara kusikiliza zaidi kuliko kusema, hakuna atakaye kulaumu kwa kusilkiliza ila utalaumiwa kwa kusema. Hakuna ufundi katika kusikiliza ila kuna ufundi ktk kusema ili ueleweke.
 
Not enough,

I do not hate anyone in this world. Instead of hating Chenge why don't you hate the people from Bariadi who were dumb enough to continue electing the guy as MP despite a mounting evidence that he is a fisadi. To be honest, they are the ones who are responsible for the incompetent guy in the parliament. But if he is elected criticise him and not hating him since he is using his constitutional right to compete for the post in the parliament.

Anyway sorry my dearest!!!!

Huwezi kuwalaumu watu wa Bariadi kwa Chenge kuwa Mbunge, pengine alikuwa ndo bora kati ya waliotaka wachaguliwe na kingine chaguzi zetu zimejaa fouls nyingi sana huenda alichakachua kama majimbo mengi walivyofanya, na wale watu wameongozwa na upinzani kwenye bunge la kwanza la vyama vingi 1995 mbunge wao akiwa Isaac Cheyo, kwa hiyo kama alishinda kihalali basi walijua walichokuwa wanakifanya.
 
Back
Top Bottom