Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

ni kweli yuko kituoni oysterbay na waandishi wa habari kibao wako pale wanasubiri apelekwe kwa pilato.
Kwa taarifa yenu, mmoja wa wale wasichana alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Chenge. Haikuwa ajali, bali mauaji ya makusudi baada ya yule binti kumbwaga Chenge. Si polisi wala waandishi wa habari walioingia kwa undani na kujua ukweli huu. Nondo zaidi zitakuja.
 
Mkuu;hizo nondo zaidi ulizotuahidi kutuletea ziko wapi sasa!?? Au ilikuwa ni gia tu ya kumtikisa Mr "Nzoka Ihenge" ili akutuze kwa Bahasha ya KHAKI!!
 
Msichokijua wengi ni kuwa hiyo ajali haikusababishwa na Chenge kabisa. Ni mke wake aliyeipanga ili kumkomoa "mke mdogo".

Chenge aliamua kuibeba usiku uleule ili kumwokoa mke wake. Thats truth I know for three years.
 
Nimeona kuna umuhimu wa kuirudisha hii thread
chege-3103.jpg

Machi 2009, Mbunge wa Bariadi Magharibu, Andrew Chenge akikimbia kuingia katika gari aina ya Haria T362ASP baada ya kutolewa mlango wa nyuma na kuwakwepa wapigapicha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam alipofikishwa kusomewa shitaka lake la ajali barabarani na kusababisha vifo vya watu.
2.JPG

Gari la Chenge lililohusika katika ajali hiyo.

3.JPG

Bajaji iliyogongwa na Chenge na kuua mabinti waili waaliokuwemo.
Baada ya kuua Mh. Chenge mwaka 2010 alikuja kuchaguliwa kuwa Mbunge kupitia CCM baada ya kupigiwa kampeni ya nguvu na First Lady, Salma Kikwete na baadaye kuteuliwa na Raisi Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Waziri.

Nyadhifa nyingine alizokuja kutunukiwa vijisenti ni pamoja na kuongoza kamati ya maadili ya chama, Mwenyekiti wa Kamati ya Budget Bungeni, na baadaye Mwenyekiti wa Kamati ya kuandika Katiba mpya. Kwa sasa ni nyoka mwenye makengeza anayejua kutafuta hela.​
 
Msichokijua wengi ni kuwa hiyo ajali haikusababishwa na Chenge kabisa. Ni mke wake aliyeipanga ili kumkomoa "mke mdogo".

Chenge aliamua kuibeba usiku uleule ili kumwokoa mke wake. Thats truth I know for three years.
Interesting!
Anyway hamna kitu kama karma in life! Leo hii wapo bado wakicheza na wajukuu zao...
 
Wana JF -- kuna habari kwamba yule Bwana wa Vijisenti, Andrew Chenge anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay kwa kuua watu wawili kwa kugonga Bajaj. Habari zaidi bado hazijapatikana. Tafadhali fuatilieni habari hizi.

View attachment 525054
Gari la Chenge lililosababisha ajali

View attachment 525053
Bajaj iliyongongwa na Chenge na kusababisha vifo
Aliua dereva na msichana wa chuo kikuu ambaye alikuwa demu wake. Mze Chenge alipata tetesi kuwa demu aliyekuwa anamgharamia anatembea na kijana mwenzie, akakasirika na kwenda kumvizia akitoka disco. Alipomuona anatoka disco akamfuata na kwenda kumgonja mpaka kufa. In short, Mze Chenge alikuwa hataki kuachwa na msichana aliyekuwa anamgharamia kwa kila kitu. Polisi walivyopata mkanda wote wakakaa kimya kumlinda mtu wao, hii nchi ina laana mno.
 
Mwenye laana ni wewe na ukoo wako! Koma kutubamikizia milaana Watanzania na nchi yetu kisa kibabu kimoja kina kimbilia mchepuko
Yaani ukome!
 
Msichokijua wengi ni kuwa hiyo ajali haikusababishwa na Chenge kabisa. Ni mke wake aliyeipanga ili kumkomoa "mke mdogo".

Chenge aliamua kuibeba usiku uleule ili kumwokoa mke wake. Thats truth I know for three years.

Na hiyo ndio kweli kulikuwa hakuna mpango wa kuwauwa wadada wawili kwenye kiji bajaji, lakini yule mama aka shindwa ku control gari na ilikuwa kwenye speed!
 
Aliua dereva na msichana wa chuo kikuu ambaye alikuwa demu wake. Mze Chenge alipata tetesi kuwa demu aliyekuwa anamgharamia anatembea na kijana mwenzie, akakasirika na kwenda kumvizia akitoka disco. Alipomuona anatoka disco akamfuata na kwenda kumgonja mpaka kufa. In short, Mze Chenge alikuwa hataki kuachwa na msichana aliyekuwa anamgharamia kwa kila kitu. Polisi walivyopata mkanda wote wakakaa kimya kumlinda mtu wao, hii nchi ina laana mno.

Dereva aliruka nje ili kuiponya roho yake! Vimdada viwili ndio vikasombwa na hilo mdude!
Rest in peace angels
 
Wana JF -- kuna habari kwamba yule Bwana wa Vijisenti, Andrew Chenge anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay kwa kuua watu wawili kwa kugonga Bajaj. Habari zaidi bado hazijapatikana. Tafadhali fuatilieni habari hizi.

View attachment 525054
Gari la Chenge lililosababisha ajali

View attachment 525053
Bajaj iliyongongwa na Chenge na kusababisha vifo
Huyu Mze ilibidi anyongwe kwa kweli, aliua makusudi baada ya kugundua demu aliyekuwa anamsomesha chuoni anapigwa miti na kijana mwenzie wa 20 something, eti Mze akakasirika na kuanza kuwawinda mji mzima kama commando. Alipompata demu ndo akaenda kumgonga na kumuua kuondokana na stress alizokuwa anampa. Serikali walijuwa msala mzima ila wameamua kukaa kimya labda na pengine waliilipa familia ya marehemu kisirisiri.
 
Back
Top Bottom