Mongoiwe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 524
- 263
Siku akijaribu kuua ndugu yangu sikubali mambo ya kusafirisha maiti wala pesa ila nami namvaa mbaya iwe mbaya. Tena sintajali ni nani na ana wadhifa gani. Lazima nimuwinde nijilipize kisasiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wamezoea sana sasa. Tena wameifanya fashion
POLE ukishadumbukiziwa vijisenti, hata kumtafuta kulipiza utawahi, hata ndugu yake viki alisema hivyo 'Sikubali..sikubali' sasa wako kimya wanakula vijisenti na wametulia nasikia hata hawataki kuhojiwa na Mapaparazi juu ya habari za Chenge, baada ya Mgeja swahiba mkubwa wa Chenge kuwapatia kifuta Uhai..No kifuta maChozi.