Chenge anamiliki majumba 9 ya kifahari!

Ana magari madogo 9 malori scania 2 mabilioni ya fedha benki mbalimbali,ana hisa ktk kampuni kubwa 9.source gazeti dira ya mtanzania leo
<br /> <br / mbona hivi ni v2 vya kawaida sana na kuna watanzania wa kawaida 2 wanamiliki mali nyingi sn zaid ya hizo?? Kwa alivyowah kuita mabilioni ya hela vijisent nategemea anamiliji mali nyingi sn za kutisha
 
Mambo ya kunyimana usingizi haya, ukizingatia hali halisi ya Mtz hasa anayeishi ktk jiji hili ............. duh!! Mbona balaaaaa!!!
 
Mambo ya kunyimana usingizi haya, ukizingatia hali halisi ya Mtz hasa anayeishi ktk jiji hili ............. duh!! Mbona balaaaaa!!! ukizingatia karibia robo tatu ya wakazi wa mji huu ni wapangaji, Mungu atuepushie mbali na viongozi wa namna hii kwa maendeleo ya taifa.
 
Back
Top Bottom