Chenge acheza Sinema ya Ditopile Part 2.

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GrEatThinkers,

Hukumu ya Chenge siitofautishi na ile ya Ditopile,

Kama ni Sinema basi hii ya Chenge Ni Ditopile Part 2.

Je Part 2 itaishaje??

Swali kwenu wana JF!
 
Ni kwelii kabisa na imeanza Episode 1......Yule bwana mdogo aliepata ajali na wangwe.....
 
DOgo hivi bado anasota Jela Eeh?

Ni kweli alikosa pesa ya kulipa alikosa au hapo sheria inasemaje wandugu?
 
Jana si sinema tu bali ilikuwa comedy! Mnadanganya watu mpaka wanastukia weee vijisenti weee hukumu ya kweli inakuja wee
 
hatuwezi kuheshimiana bila Damu kumwagika...

japokuwa halikuwa kusudio letu tunatamani sana kuendelea kuwa mfano wa nchi ya amani duniani lakini ukweli ndio huo kwamba utulivu wetu ndio unaotuponza na ikibidi tutafikia huko maana huu sasa ni uzoba.
 
Hivi Chenge aki...... mtalia au mtafurahi?? mtamkumbuka kwa mchango upi kwa TZ?.... Naona kawatoka watz 100%
 
Hivi Chenge aki...... mtalia au mtafurahi?? mtamkumbuka kwa mchango upi kwa TZ?.... Naona kawatoka watz 100%

Huyo Chenge kwa kiburi alicho nacho hata AKI......Siwezi hata kutoka chozi.
 
kwani mmsesahau kuwa majina yana maana ameipiga chenga hata sheria kipa katiba kafungwa,

Kwa wanyantuzu:

Maana yake ni Mwenge ule wa Majani uliowashwa.

Unahusishwa na Imani ya kishirikina pia.

Kwa hiyo usishangae kuona alinaswa na kamera akiweka unga mweupe Bungeni Dodoma ktk viti vya wengine ili wasimlipue.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom