Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha kidogo akili na hii

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Jomla, Jul 17, 2012.

 1. Jomla

  Jomla Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  CHEMSHA AKILI NA HII
  Nguo inauzwa sh.10000,we huna pesa
  ukaamua kukopa kwa dada yako
  sh.5000 na kwa kaka sh.5000 ukapata
  sh.10000.
  Ukaenda ukapatana na muuzaji kununua kwa sh.9700 ukarudishiwa
  sh.300.Ukaamua kupunguza deni
  hivyo ukatoa sh.100 kwa kaka na
  sh.100 kwa dada na ukabaki na
  sh.100 hivyo ukabakiwa na deni la
  sh.4900 kwa kaka na sh.4900 kwa dada.ukijumlisha unapata sh.9800
  ukiongeza na ile mia ya kwako
  unapata sh.9900.JE MIA IMEKWENDA
  WAPI? Kazi kwenu wakuu.
   
 2. CalvinPower

  CalvinPower JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  sasa kama ulikopeshwa sh 10000 na katika hiyo hiyo hela yao ukarudisha sh 200. inamaana ulikopesha sh 9800/= sawa? yaani ulirudisha sh 100 kwa kaka na sh 100 kwa dada. so hela unayodaiwa ni sh 9800. ukanunua nguo kwa sh 9700. lakini wewe unadaiwa sh 9800 na una mia nenda katafute sh 9700 jumlish na hiyo mia lipa deni. kwanini unaongeza mia niliyobakinayo unatakiwa kutoa. yaani 9800-100 unapata 9700 na ndo deni lako jipya. usijumlishe 9800 na mia NONONONOOOOOOOOOO umekosea hesabu. fanya 9800 ndo deni sasa kama unapunguza tena inamaana unawapa ile mia uliyobaki nayo na deni linabaki kuwa 9700.
   
 3. S

  Saskatchewan Senior Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huwezi kujumlisha deni!
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,370
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Mambo mazito haya
   
 5. Jomla

  Jomla Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Great thinker _/ vema
   
 6. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mia amechukua mwingulu
   
 7. a

  actus Senior Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoja tuunde tume huru itakayo ongozwa na mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali kuona hiyo mia iko wapi
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,532
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  9700 -nguo
  200-kulipa deni
  100- nimebaki nayo!
  Total-10000
  solved...
   
Loading...