Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha bongo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by RGforever, Jul 18, 2012.

 1. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 5,811
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  CHEMSHA AKILI NA HII

  Nguo inauzwa sh.10000,we
  huna pesa ukaamua kukopa
  kwa dada yako sh.5000 na kwa
  kaka sh.5000 ukapata sh.10000.
  Ukaenda ukapatana na muuzaji kununua kwa sh.9700
  ukarudishiwa sh.300.Ukaamua
  kupunguza deni hivyo ukatoa
  sh.100 kwa kaka na sh.100 kwa
  dada na ukabaki na sh.100
  hivyo ukabakiwa na deni la sh.4900 kwa kaka na sh.4900
  kwa dada.ukijumlisha unapata
  sh.9800 ukiongeza na ile mia ya
  kwako unapata sh.4900.JE MIA
  IMEKWENDA WAPI?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,899
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hela zao mpaka unanunua kwa 9700 ulikuwa na deni la4850 kwa kila mtu kwa hiyo kama umewapa mia kila mtu inakuwa 4950 kwa hiyo ukiongeza na ile 100 gawanya kwa mbili deni limeisha.
   
 3. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  edit your post kwnz...... ukijumlisha 9800 na mia unapata 9900........ fanya hvy kisha ujibiwe.......
   
 4. piper

  piper JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Gud trial lakini umejichemsha bongo, maana umejiconfuse

  • :yawn:
   
Loading...