Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha bongo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Biohazard, Aug 25, 2011.

 1. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Nguo inauzwa shilingi elfu 10,000 wewe huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yako sh. 5,000 na kwa kaka sh. 5,000 ukapata elfu 10,000.
  Ukaenda kugalaliza na kununua kwa sh. 9,700 ukarudishiwa sh. 300, ukaamua kupunguza deni ukatoa sh. 100 kwa kaka na sh. 100 kwa dada ukabaki na sh. 100. Hivyo ikawa unadeni kwa dada 4900 na kwa dada elfu 4,900. jumla 4800 ukijumlisha na mia iliyobaki unapata 9,900 je shilingi 100 nyingine iko wapi?
   
 2. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,101
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br /
  chemsha bongo ya level gan? kama ulipunguziwa 300 na kulipa 9700 maana yake unadaiwa 4850 na kila mmoja na sio 4900_
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Soma vizuri swali weye hujafikia hii level subiri ya kwako level 1
  ukaamua kupunguza deni ukatoa sh. 100 kwa kaka na sh. 100 kwa dada ukabaki na sh. 100.
   
 4. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  Hili swali limerudiwa,japo halifanani na lile la kwanza ila nenda kacheki thread moja inaitwa 'solve this' alipost njiwa.Yeye badala sh.10000 alitumia sh.100,badala ya sh 5000 alitumia sh.50 n.k.
   
 5. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  use bodmas, kwa kiswahili magazijuto,,,,
   
 6. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mia ni gharama ya hyo kitu!
   
 7. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mia alipandia daladala kwenda kununua hyo nguo..
   
 8. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,267
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hii ilishatolewa na Dena Amsi, yenye jina Wataalamu wa namba jibu likatolewa na Mis Judith.
   
 9. Kifuniko

  Kifuniko Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dada amekupa 5000, kaka amekupa 5000, jumla deni 10,000, ukalipa 200 ukabakiwa na deni la 9800. Kulipata hili deni chukua 9700 jumlisha na 100 uliyobaki nayo mfukoni. Kwa namna nyingine jumla ya pesa ni 9700+200+100
   
 10. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huna deni, kwa huyo dada ako na kaka ako hawatakudai ni kama wamekupa tu
   
 11. K

  Kazabuti Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jumla ya deni unalodaiwa siyo shillingi 4800 mahesabu yako yana mkanganyiko lekebisha
   
 12. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mie sina dada kwa hiyo itakuwaje?
   
Loading...