Chemsha bongo maths

Nyingine naikumbuka kumbuka hii hapa:

"Kangaroo ni mnyama aoenekae Australia, huweza kuruka umbali wa mita kumi na mbili. Mwanga anajitapa kuwa huweza kuruka theluthi ya umbali huo. Je, huo ni umbali gani?"
Mkuu basi huyo mwanga anaweza kuruka Umbali wa mita nne...iwapo huyo kangaroo ni kweli ana ubabe wa kuruka mita kumi nambili...teheteheh
 
x+x+x/2+x/4+1=100

2x+x/2+x/4=100-1
2x+x/2+x/4=99
tafuta KKS ambacho ni 4 then gawany na kuzidisha utapata
11x=396 then
11x/11=396/11

x=36
x=ndege
 
Back
Top Bottom