Kuna mzee mmoja alikuta kundi kubwa la ndege,akalisalimia kwa kusema,shikamooni ndege mia,ndege walipaza sauti wakisema sisi sio ndege mia,bali waje kama sisi,waje nusu yetu,waje pia robo yetu na wewe mwenyewe ili tutimie mia.Je kundi hilo la ndege lilikua na ndege wangapi?