Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha bongo hii noma jibu plzzz!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mputi, Mar 22, 2012.

 1. M

  Mputi Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekuta nguo inauzwa 10,000 ukaenda kwa dada na kaka yako kila mmoja akakukopesha 5,000, ulivyokwenda kununua nguo ukakuta bei imepungua inauzwa sh 9700, ukarudishiwa 300, ulivyorudi home ukaamua kupunguza deni, dada ukampa 100 na kaka 100, sasa dada anakudai 4900 na kaka 4900 jumla unadaiwa 9800, ukijumlisha na 100 ulobaki nayo jumla kuu ni sh 9900, sasa 100 nyingine imekwenda wapi ili itimie 10,000?
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  We chukua hiyo mia kampe dada akalipe deni la mafuta ya taa dukani. Unaibania yako ?!
  Unadaiwa 9800 hiyo ni -ve.
  Una 100 ya chenji hiyo ni +ve.
  -9800+100 = 9700.
  Siyo 9900 Mkuu.
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,533
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Napita tu....
   
Loading...