Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHEMSHA BONGO HII NOMA JIBU PLZZZ!!kuta

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mputi, Mar 22, 2012.

 1. M

  Mputi Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekuta nguo inauzwa 10,000 ukaenda kwa dada na kaka yako kila mmoja akakukopesha 5,000, ulivyokwenda kununua nguo ukakuta bei imepungua inauzwa sh 9700, ukarudishiwa 300, ulivyorudi home ukaamua kupunguza deni, dada ukampa 100 na kaka 100, sasa dada anakudai 4900 na kaka 4900 jumla unadaiwa 9800, ukijumlisha na 100 ulobaki nayo jumla kuu ni sh 9900, sasa 100 nyingine imekwenda wapi ili itimie 10,000?
   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  hapo umetutega tu lkn jibu lipo wazi
  100 aliyoamua kubaki nayo yeye ndio deni linalo baki
  maana deni 9900 akijumlisha na 100 aliyobaki nayo inakuja 10,000.
   
 3. T

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Searching...100%
  Loading...0%
  Network failed !
   
 4. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmmmm, lete hesabu ngumuuuuu
   
 5. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Bei ulonunulia nguo ni 9700, ukiigawa kwa mbili utapata sh. 4850, maanayake ulitumia 4850 kutoka kwa kaka na the same amount kutoka kwa dada, so kilammoja alikuwa anakudai 150, na wewe una 300, ukiwapa sh.100 kila mmoja utakuwa umerudisha 4950 na kubakiwa na deni la sh. 50 kwa kila mmoja ambayo ndio hyo sh. 100 ulobakiwa nayo.
   
 6. Sir H

  Sir H JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 559
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hiyo ipo kweny logalithm fmII
   
Loading...