Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chemsha Bongo Chemsha Bongo...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wilbert1974, Jun 26, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,591
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nguo inauzwa 10,000/-
  Wewe huna hela; ukaamua kukopa kwa dada 5000/- na kaka 5000/-
  Ukaenda dukani kuomba upunguziwe bei na kununua nguo kwa 9,700/- na ukarudishiwa chenji 300/-
  Ili kupunguza deni ukatoa 100/- kwa dada na 100/- kaka na wewe ukabaki na 100/-
  Kwa hivyo deni lililobaki kwa dada ni 4,900/- na kaka 4,900/-
  Ukichukua 4900/- ya dada na kaka unapata 9,800/-, ukiongeza ile 100/- ya kwako inakuwa 9,900/-
  Je, 100/- imeenda wapi???!
  MIMI NIMEJARIBU NIMECHEMSHA JIBU LAKE. :smash: :smash: :poa
   
 2. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 787
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Bei ya nguo ni 9700 +200 ya kaka na dada +100 uliyobakiwa nayo =10000
   
 3. T

  TUMY JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Exactly.
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,215
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sasa utakwendaje kwanza duka la nguo ilihali wewe huna hela halafu nasumbua watu kuwakopa. Teh teh teh teh teeeeeeh, nini povu linataka kukutoka wakati hapa ni jukwaa la utani
   
 5. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 503
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mtego katika hili swali ni kwamba,ukijumlisha madeni unapata jibu lisilo sahihi.Hivyo unapaswa ujumlishe hela na sio madeni
   
Loading...