CHEMSHA AKILI yako utoe jibu.

Dreamliner

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
2,034
213
Nguo inauzwa sh. 10,000.00 wewe huna pesa ukaamua kukopa kwa dada sh. 5,000.00 na kwa kaka sh. 5,000.00 ukapata sh. 10,000.00. Ukanunua ile nguo kwa sh. 9,700.00 na ukarudishiwa sh. 300.00, Ukaamua kupunguza deni, ukatoa sh. 100.00 kwa dada na sh. 100.00 kwa kaka. ukabaki na sh. 100.00. Hivyo ukawa na deni la sh. 4,900.00 kwa dada na sh. 4,900.00 kwa kaka, jumla sh 9,800.00, ukiongeza na ile sh. 100.00 yako, inakuwa sh. 9,900.00. Je sh. 100.00 imekwenda wapi?

Nawasilisha.
 
Hapo easy sana mkuu!Kununua nguo shilingi 9700 maana yake ni kwamba ni kama umechukua tsh 4850 kutoka kwa hao ndugu zako(Yaani 4850 kutoka kwa dada na 4850 kutoka kwa kaka) ambapo katika elfu tano ya kila mmoja inapungua tsh 150 na hivyo mia hamsini kutoka kwa dada na kaka inaleta tsh 300 hivyo hakuna tsh 100 inayopumgua.
 
Bila shaka hiyo sh 100 itakua imechukuliwa na chuma ulete.............au? Hahaahahahahahaaaaaaa
 
Nguo inauzwa sh. 10,000.00 wewe huna pesa ukaamua kukopa kwa dada sh. 5,000.00 na kwa kaka sh. 5,000.00 ukapata sh. 10,000.00. Ukanunua ile nguo kwa sh. 9,700.00 na ukarudishiwa sh. 300.00, Ukaamua kupunguza deni, ukatoa sh. 100.00 kwa dada na sh. 100.00 kwa kaka. ukabaki na sh. 100.00. Hivyo ukawa na deni la sh. 4,900.00 kwa dada na sh. 4,900.00 kwa kaka, jumla sh 9,800.00, ukiongeza na ile sh. 100.00 yako, inakuwa sh. 9,900.00. Je sh. 100.00 imekwenda wapi?

Nawasilisha.
9700 + 200 = 9900 AND NOT 9800. Wewe ndio unatakiwa kuchemsha bongo yako!!!1
 
Hapo easy sana mkuu!Kununua nguo shilingi 9700 maana yake ni kwamba ni kama umechukua tsh 4850 kutoka kwa hao ndugu zako(Yaani 4850 kutoka kwa dada na 4850 kutoka kwa kaka) ambapo katika elfu tano ya kila mmoja inapungua tsh 150 na hivyo mia hamsini kutoka kwa dada na kaka inaleta tsh 300 hivyo hakuna tsh 100 inayopumgua.

Umegeuza swali Mkuu wangu
 
Kuna wakati niliwahi kuitoa hapa mkachemka mkanipa mji nikawapa jibu,mmeshasahau lile jibu?kweli nyie vichwa maji, na leo mtanipa tena mji...
 
Kama vipi ntarudisha 2 nguo dukani wanirudishie hela yangu,nilipe deni la watu,madeni sio k2 kizuri..kwni nguo k2 gani bwana...!!
 
Nguo inauzwa sh. 10,000.00 wewe huna pesa ukaamua kukopa kwa dada sh. 5,000.00 na kwa kaka sh. 5,000.00 ukapata sh. 10,000.00. Ukanunua ile nguo kwa sh. 9,700.00 na ukarudishiwa sh. 300.00, Ukaamua kupunguza deni, ukatoa sh. 100.00 kwa dada na sh. 100.00 kwa kaka. ukabaki na sh. 100.00. Hivyo ukawa na deni la sh. 4,900.00 kwa dada na sh. 4,900.00 kwa kaka, jumla sh 9,800.00, ukiongeza na ile sh. 100.00 yako, inakuwa sh. 9,900.00. Je sh. 100.00 imekwenda wapi?

Nawasilisha.
Tatizo lako hapo ni accounting error,huwezi chukua deni ukajumlisha na pesa ya mkononi,maana 100 umebakiwa nayo,9800 ni deni.labda iwe hivi (-9800)+100=(-9700)
 
Hii ni aljebra magazijoto kigao kikubwa cha shirika au kidogo?????!!!!!!
 
9700+200=9900 jumlisha na hiyo mia yako ni 10000,huwezi rudisha deni kwa ela ulokopea,rudi tena la saba ukajifunze hasi na chanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom