Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,615
- 68,516
Hahaaaa...haya bana. Natumai tu hutanihukumu kimakosa kwa kudhani mimi ndo yeye.
Sijakuhukumu ila rafiki yako wa ile movie yetu ana id lukukii ila jela ni kwa kila mtu mi mwenyewe nishapazoeaa!!!!!!!!!