Chemistry

Nashangaaa anavyoingiliaa mimi nilikua nakuambia wew lakin ye kayavalia njuga au ndio yule ulikua unamsubiri akupe like maana nashindwa kumuelewaaa!!!!!!mwishowee niongee broken bureee

Hahahaaa yule wa like naona kauchuna, hataki kujichoresha labda.

Ila usipatwe na jakamoyo. mimi siyo huyo jamaa. Simjui na wala hanijui na unaweza ukathibitisha hilo kwa watawala wa JF kwa kupitia IP address.
 
Ndugu, naona watu washaanza kuhisi kuwa wewe ni mimi. Vichekesho!:loco:

Mhakikishie Dina kuwa wewe si mimi, asije akanifikiria vibaya bure.

Wamezoea kusifiwa wakiona watu wanawachallenge na kumtetea waliyemshambulia wanadhania ni yeye katika multiple ID'S hawana uwezo hata wa kuangalia flow ya fasini na maneno yanayotumika maana uandishi pia huacha lama kama fingerprints, Mimi sio Nyani bali nimetetea hoja yake mlioishambulia badala ya kuangalia tahariri yake na si lazima kila thread lazima wachangie utakuta wanachangia kila thread ni kama hawana kazi na cha kufanya mtu kajiunga let say one month tayari katundika 3000 huyo mtu ni kama hana kazi iwapo ana kazi anajua mwenyewe ni kazi gani maana kila thread lazima aandike B.S kabisa
 
Wamezoea kusifiwa wakiona watu wanawachallenge na kumtetea waliyemshambulia wanadhania ni yeye katika multiple ID'S hawana uwezo hata wa kuangalia flow ya fasini na maneno yanayotumika maana uandishi pia huacha lama kama fingerprints,

Ndo matatizo ya kuwa delusional hayo! Mtu ana hallucinate tu pasipo hata kujua chochote. Mbaya zaidi usikute anaamini katika hizo hallucinations zake kiasi kwamba, kama ulivyosema, anashindwa hata kusoma mwandiko wa mtu maana kila mtu ana mwandiko wake hapa. Watu wajinga wajinga kama hao ni wa kupuuzwa tu.

Mimi sio Nyani bali nimetetea hoja yake mlioishambulia

Hata sielewi wanaodhani wewe ni mimi wanatumia ki(vi)gezo gani! Nadhani ni kwa vile tu umeonekana kutetea nilichoandika. Zaidi ya hapo hawana jingine. Ni upuuzi na maruweruwe tu.
 
Ha ha ha

Punguza hasira binamu ukienda jela siji kukutazama na sijui huo uraia pacha utaupigania saa ngapi

Nimeachana naee watu kama hawa hua hawakosekanii humu umenikumbusha la maana kweli,maana nimegundua nnaejibishana nae ni nanii
 
^^^^^^
 
Attachments

  • 500px-Anchorman-well-that-escalated-quickly.jpg
    500px-Anchorman-well-that-escalated-quickly.jpg
    21.2 KB · Views: 52
Nimeachana naee watu kama hawa hua hawakosekanii humu umenikumbusha la maana kweli,maana nimegundua nnaejibishana nae ni nanii

Ha ha ha ha

Kumbe jee

Haya utulie sasa maana ulivyopandisha jazba nikahisi upo siasani kumbe MMU
 
You are really drawn to a person. You begin to date and the chemistry grows stronger and stronger. You take things to the next level and it becomes exclusive and everything is hunky dory, kosher, and fine and dandy.

Then one day out of a clear blue sky you don't feel the same attraction any longer. It's gone. It's kaput!

What happened? Is it because the mystery is gone and you know too much about the person too soon?

Or is it because you created some fantasy chemistry that doesn't even exist in the real world?

Why would a person lose attraction to their partner like that? What is the cause for the emotional connection breakdown?

You are all welcome to chime in.....

sasa hapa kiingereza kigumu kiko wapi?? nadhani mna issue na mleta thread wala sio lugha aliotumia.
 
Wamezoea kusifiwa wakiona watu wanawachallenge na kumtetea waliyemshambulia wanadhania ni yeye katika multiple ID'S hawana uwezo hata wa kuangalia flow ya fasini na maneno yanayotumika maana uandishi pia huacha lama kama fingerprints, Mimi sio Nyani bali nimetetea hoja yake mlioishambulia badala ya kuangalia tahariri yake na si lazima kila thread lazima wachangie utakuta wanachangia kila thread ni kama hawana kazi na cha kufanya mtu kajiunga let say one month tayari katundika 3000 huyo mtu ni kama hana kazi iwapo ana kazi anajua mwenyewe ni kazi gani maana kila thread lazima aandike B.S kabisa

Pole Spartakas wamekuchongea akina Lusongo na Dinazarde sio ila nakufahamu iwapo ni wewe una multiple pretence pia nkuhakikishi tutatetea hoja zako uko sahihi Lusongo na Dina walianza kukutukan nahangaa wao hawana ban rushwa imeingia jamii? Ila ntajibu kwa niaba matusi yote watakayokusema
 
You are really drawn to a person. You begin to date and the chemistry grows stronger and stronger. You take things to the next level and it becomes exclusive and everything is hunky dory, kosher, and fine and dandy.

Then one day out of a clear blue sky you don't feel the same attraction any longer. It's gone. It's kaput!

What happened? Is it because the mystery is gone and you know too much about the person too soon?

Or is it because you created some fantasy chemistry that doesn't even exist in the real world?

Why would a person lose attraction to their partner like that? What is the cause for the emotional connection breakdown?

You are all welcome to chime in.....
So sorry my sear.
This happens when your chemical reaction acts on part of your person. May be you loved her make up face, and now she can not make it.
Also most of us (Men) do like some other element to react with just to observe the product of that chemical reaction, and not likely to love the element we are going to react with.
So now after observing the out put of chemical reaction we normally get off to react no more.
 
sasa hapa kiingereza kigumu kiko wapi?? nadhani mna issue na mleta thread wala sio lugha aliotumia.

Wenye chuki binafsi ndio walimshambulia hata mie sijaona tatizo ndo maana akina Spartakas walisimama kumtetea Nyaningabi dhidi ya haters
 
Wenye chuki binafsi ndio walimshambulia hata mie sijaona tatizo ndo maana akina Spartakas walisimama kumtetea Nyaningabi dhidi ya haters

Chuki za nini wakati tunakaa pazuri...tunalala pazuri...tunakula vizuri...bima za afya na magari tunazo tumchukie mtu ni breadwinner wetu?
 
mi sjui kizungu ila nawe Nyani punguza sifa, hivi unajuaga misamiati tu ya kizungu? mbona forum za majuu wanaandika kizungu kirahisi hata sisi f4 tunaelewa?

we ulisomea sayari ya Mars? mi sjaelewa, kha nde mgaya sida

Hivi kilicho kigumu hapo ni nini? Watu wengine mnasikitisha sana.

Cc: Kiranga
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom