chelsea vs man u

jingle

Member
Oct 19, 2012
27
2
wataalam wa soka,imekaaje hiyo!manake man u wana hazina kubwa ya wachezaji waliopata muda wa kutosha wa kumpumzika tofauti na chelsea!
 
wataalam wa soka,imekaaje hiyo!manake man u wana hazina kubwa ya wachezaji waliopata muda wa kutosha wa kumpumzika tofauti na chelsea!
Lini? Mi ni mpenzi mfu wa Man U na soka kwa ujumla (hasa la hawa wakoloni wetu) ila kusema ukweli Jumapili iliyopita Man U kidogo wageuke Woman O! Wale vijana wa The Blues wanatisha wajameni! Kwa mwendo ule hata Man U wapumzike miezi 3 hawataweza kufurukuta mbele ya Mashetani wa Blue labda refarii awe ni yule yule wa Jumapili iliyopita!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom