CHELSEA vs MAN U…. Nani kuibuka mbabe j’pili?

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18

Wadau, finally wababe wanaopishana kila wakati katika kilele cha PREMIER league wanakutaka wik end hii…. Je! Nani atacheka n nani kununa unahisi?

Naomba maoni yenu…

NB
Remember, yeyote atakayeshinda hapo atarudi kileleni n kama ni draw then Chelsea wataendelea kukalia uongozi.
 
Utakua viwanja gani Dr.? Red devils kidedea kama kawa. any one ready for a bet. 100,000
 
hakuna sare pale, tena kwa kuwa tumeanzisha utaratibu wa kufunga bao nne had tano bas Manu wajinadae kupokea kichapo.sisi ndo the bluessssssss bana,

na msimu huu mtatukoma tu!!
 
haiwezekani mje mushushe sufuria y ugali na sisi wenye nyumba tupo.
man jiandae kulia tu, mwaka wetu the blues!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom