Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
Kama ni kweli basi uongozi wa chelsea umekurupuka.
Wangekuwa makini wangemfungishia virago muda mrefu, sio sasa wakati timu imepoteza mwelekeo hata kwenye top four wako mashakani.
Btw nani kakabidhiwa mikoba?
Di Matteo, ...but it's Emenalo who calls the shots, he he he....mtamtambua m Naija aka mpopo
mwaka huu!