Chelsea kucheza Uefa Champions League Msimu Ujao Kibarua Kipevu!

Mlitika

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
457
260
Ni lazima moja kati ya yafuatayo yatokee:
  1. Aishinde FC Bayern München ikiwa nyumbani na kutwaa kombe, au
  2. Iishinde Liverpool ugenini na Blackburn nyumbani kwa jumla ya magoli yasiyopungua manne; na hapo hapo

  • ama Arsenal (ugenini) ifungwe na West Brow,
  • ama Totenham (nyumbani) ifungwe na Fulham
  • ama Newcastle (ugenini) ifungwe na Everton.
Lipi ni rahisi kutokea kati ya haya mawili?
 
Lol! Kazi kweli kweli!
 
Namba 1. Take my word hlf unijibu after May 19
 
Namba 1 linawezekana 19 may vijana wa di mateo wanaipeleka ndoo london kwa mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom