Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
- Thread starter
- #21
........Wamependeza maharusi, bi harusi yupo simple nimependa gauni lake.
Afadhali katoa gundu jamaniwakina dada wa tanzania na nyie tafuten ama omben ndoa kwa mungu acha kuwa seja kila siku
Bwana harusi hana wazazi ? Mbona kila kitu ni the Clintons tu ?
In March 2001, Mezvinsky was indicted and later pleaded guilty to 31 of 69 charges of bank fraud, mail fraud, and wire fraud.[5] Nearly $10 million was involved in the crimes. Shortly after his indictment, he was diagnosed with bipolar disorder, but the judge at his trial disallowed a mental illness defense.[1] Mezvinsky was released from federal prison on April 11, 2008.[6]
The groom's father is an ex-felon (white collar crime) and I dont think he felt comfortable in such a crowd.
wamependeza,
na mie naona wakati umefika wa mie kuolewa,
ukifikia huu umri kunakuwa na urge sawa na vile mama mwenye ujauzito anayekaribia kujifungua anavyopatwa na uchungu LOL:biggrin::biggrin::A S shade:
ukiona harusi ya mtu unapatwa na feeling fulani sawa na hizo contractions zile za uzazi LOL:smilez: