Cheki Mnigeria Akitishiwa Kurudishwa Kwao!!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
[media]http://www.youtube.com/watch?v=Ub5Ak14ONGY&eurl=http://www.nairaland.com/nigeria/topic-201643.0.html[/media]
 
Shughuli ilikuwa pevu. Na ninavyowafahamu hawa jamaa, sidhani kama aliripoti "immigration" kila J5 kama alivyotakiwa kufanya. Ulaya, Ulaya, kunani Ulaya mpaka watu wanang'ang'ania? Maziwa na Asali?
 
Du Waafrika tunadhalilika kweli kweli kwa kiu ya kuishi majuu!

Kila siku ninasema ni heri mnaodhalilika huko majuu kuliko sisi tunaoibiwa, kuchezewa na kupuuzwa na serikali huku Afrika. Kuna wakati unaona ni heri uwe mbwana ulaya kuliko kuwa binaadamu Tanzania. Ingawa si wakati wote, inavyoonekana Mbwa wa Ulaya ana haki ya kuishi, kupata chakula, matibabu na hata sehemu ya maana ya kulala. Na wakati fulani hata vacation anapelekwa. Hata ukienda kijijini ulaya ukiingia kwenye supamaketi unakuta kuna chakula cha mbwa, lakini hapa kwetu nenda hapo manzese tu unaweza kuona hata chakula cha binadamu kinakosekana. Afrika moto. Kwa hiyo hao wandugu wanaong'ang'ania huko sio wajinga sana kama tunavyofikiri.
 
Hii clip imenitia uchungu sana sana. Hata kama ni ya Mnigeria, haina tofauti na Mtanzania, mtu mweusi ni mweusi tu ni sisi ndio tunaona tuko tofauti kwao jina ni moja tu waafrika hao!
 
[/B] Hata ukienda kijijini ulaya ukiingia kwenye supamaketi unakuta kuna chakula cha mbwa, lakini hapa kwetu nenda hapo manzese tu unaweza kuona hata chakula cha binadamu kinakosekana. Afrika moto. Kwa hiyo hao wandugu wanaong'ang'ania huko sio wajinga sana kama tunavyofikiri.


Umesahau kitu kimoja. Sio kwamba ukiwa Ulaya,raia wa huko wataacha kuhudumia mbwa wao wakuhudumie wewe. I mean, it's not easy out there either. I will urge you not to try......unless otherwise.
 
Let the guy hustle!! He no kill no one.
Ulaya hulali njaa, ukilala njaa uvivu wako tu!!Hata maboksi yanalipa tu. Afrika gemu ikikataa imekataa, hata uwe na bidii.
Brotha is hustling!!
 
Uuu ujinga unalilia kukaa UK. hamna cha gemu gumu africa wala nini huu ni upuuzi na hawa ndio wanaeneza uongo anaesema akirudi Nigeria anauwawa.
 
Back
Top Bottom