Cheki mambo ya Nizar Khalfani: Ndani ya MLS team of the week!

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
337
234
Hii ilikuwa ni mwezi wa April, 2011
Hapo chini ndivyo walivyomuelezea,
MF – Nizar Khalfan (Vancouver Whitecaps): They don’t come more dynamic than the Tanzanian, who has the pace to be dangerous from anywhere on the field and the stamina to cover more ground than any of his teammates, no matter how many games the schedule throws Vancouver’s way.

[h=1]MLSsoccer.com Team of the Week: Week 4[/h]Marshall is dominant; Seattle and Houston well represented

MLSsoccer.com
April 12, 2011

Tweet

Team-of-the-Week_WEEK4.jpg
 
safi sana nizal, wasije wakawa wanakutumia tu ndugu yetu wanakulipa vizuri kweli? walau $10,000 kwa wiki si mbaya sana, mwanzo ni mgumu Kaza buti hivyo hiyvo.
 
...What I like about this guy, he is very modest. Huwezi kumuona na kumsikia kwenye magazeti....kama vile hayupo. Ni juzi tu alikuwa kwenye kikosi cha timu yake wakiwavaa manchester city.
 
...What I like about this guy, he is very modest. Huwezi kumuona na kumsikia kwenye magazeti....kama vile hayupo. Ni juzi tu alikuwa kwenye kikosi cha timu yake wakiwavaa manchester city.
Kwa namna hii kijana wetu anaweza kusonga mbele saana, mradi aangalie malengo asiwe limbukeni.Pombe, wanawake, ni sumu ya game. Akazanie saana mazoezi alekebishe kasoro zake kwa maelekezo ya coacher, atulie acheze mpira aongeze speed through much practice. Hongera Niza!!!!!!!!!!
 
mpaka hapo alipofika ni tosha kabisa kuwa kijana wetu ana nidhamu. twakutakia mafanikio mema kamanda wetu!
 
Hongera nizal na nakutakia mengi mazuri. Kiu ya watanzania kuona vijana wetu katika soka mnatutangazia nchi inaanza kuzaa matunda. Hongera sana sana nizar. Awamu ya Kikwete hiyo, ona vijana wanavyopata ajira duniani na pesa nzuri. Natoa hongera kwa raisi wetu JK pia kwa kuthamini sana kukuza vipaji vya vijana wake.
 
Magamba yanaongea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom