Cheki jezi ya timu ya wanawake ya Iran

View attachment 31655 View attachment 31656
View attachment 31657 View attachment 31658
View attachment 31659 View attachment 31660
Wamewaonea bure na hii ndiyo shida ya Western culture kutawala dunia! Kila kitu wao hawana mipaka kwa hili FIFA sikubaliani nao.

Staki kucheka! Kwani huo mpira ni utamaduni gani? Kila tamaduni iking'ang'ania kuvaa kufuatana na utamaduni wao itakuwaje? Waarabu wana utamaduni wao usioruhusu jezi za utamaduni walioanzisha mpira wa miguu.Kwani jamani lazima Iran ishiriki?
 
Safi sana kwa kuwaondoa kwene mashindano. Wakati dunia inaangalia mbele wao wanaangalia 'nyuma' .lol
 
ukiangalia hao brazili ni tofauti , kuna tofauti ya utamaduni na dini pia. bado tu haujaelewa. cha msingi mapaja ya waarabu wa kike bado ni mali. na mutaendelea kuyasikia tu bali si kuyaona kwa macho........:becky:

Unaishi kwene pango gani au ndio kuabudu waarabu huku? wapo waarabu wengi tu mahooker au ma-'free spirit' na watu wanajimegea tu kama hawana akili nzuri. Kalaghabaho.
 
ukiangalia hao brazili ni tofauti , kuna tofauti ya utamaduni na dini pia. bado tu haujaelewa. cha msingi mapaja ya waarabu wa kike bado ni mali. na mutaendelea kuyasikia tu bali si kuyaona kwa macho........:becky:

Nani kakwambia?.......

sexy+burka.jpg
 
Hizi ni propaganda dhidi ya uislamu. Hivi ukiwaangalia, jezi hizo zina tatizo gani???au wavae vichupi ndio muone raha? Acheni ujuha.
 
ukweli ni kwamba FIFA waisilamu ni wachache tena wenye vyeo vya chini.ndo maana walio juu wanajiamulia wanavyotaka.lakini mungu atawaumbua tu
 
Haijatendewa haki fifa haina haja ya kuingilia tamaduni za watu ni ubaguzi huo hebu kumbukeni tatika michezo flani kuna mkimbiaji wakike toka autralia aliwahi kushiriki akiwa kavaa mavazi sawa na hayo mbona hawakumzuwiya? Lakini hii tim kwakuwa ya irani ndo maana wanaleta siasa kwenye michezo
 
Back
Top Bottom