Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Hizi nguo za Cameroon mbona walizipiga BAN nazo? Wengi mtakuwa mnakumbuka hili tukio. Hapa hapakuwa na Uislaam wala Ukristo.
Hii jezi walikuwa wameunga na kuwa kama nguo moja. Hadi leo sielewi walikuwa wanaingiaji kuvaa. Labda nyuma kuna zipu kama gauni.
Baadaye ikaja hii ya mikono mifupi....... Nayo wakaipa BAN na Cameroon hawakuitumia tena. Ila siku moja dada yetu akatokea kavalia kama Cameroon na kutoa kituko cha Mwaka. Na mechi akashinda.
Ila mtu wa kwanza alikuwa Golkipa wa Mexico, Jorge Campos na mashati yake. Walimuangaliaaaa na mwisho wakampa BAN na yeye. Duniani watu walisikitika sana maana alikuwa kipenzi cha watu na mashati yake ya rangirangi.....