Cheki huyu msanii.....!!!!!

TWALICIOUS

Member
May 26, 2011
42
0
kuna siku bwana wasanii kibao walikuwa wanafanya shoo pande za mafinga pale shimoni club!!!!kwa kawaida kabla ya kufanya show wasanii huanza kwa kujitambulisha msanii wa kwanza kujitambulisha alikua ni mr blue ye akasema" mi ni MR BLUE HAPA....watuwakafurahi saaana,sasa ikafika zamu ya msanii flani anaitwa KINYA...naye akaanza kama kawaida "yea mi ni KINYA HAPA....watu wakaanza kusema "usitulete mambo ya ajabu we ukinya utazoa mwenyewe na hela za kiingilio mtaturudishia we vipi weeee!!!! kunya uone balaa lake.......ha ha ha haaaaaa
 
we kama hucheki ujue huna bandama SENATOR,KIWAVI SERIO... nyie mmezoe siasa kama haikuchekeshi we kidudu mtu...... acheni majungu hayajengi!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom