Honey-kimeo
dear-wa kuzugia
sweet-mshamba
my love-zezeta
baby-mjinga
endless-malaya
darling-*****
husband-buzi.
Jicheki uko upande gani hapo!
haaaaahhhh mm sina neno sababu mhhhhh najua mwenyewe ila hiyo kamusi balaza la kiswahili wameipitisha
Honey-kimeo
dear-wa kuzugia
sweet-mshamba
my love-zezeta
baby-mjinga
endless-malaya
darling-*****
husband-buzi.
Jicheki uko upande gani hapo!
utaweza angalia usije jaza majirani wakajua kuna msiba
umeulizwa?
Kwa wasiomjua Senator amemaliza UD mwaka huu
Ahaa kumbe!Na wewe ni nani wake?mke,mume,shemeji,demu,kitanda,king'amuzi,foronya,finyango au kabati?