Cheka kiduuchu, ili utoe uchovu

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
382
babu kaibiwa nauli kwenye basi,akanza kutangaza 'jamani aliyeiba nauli yangu arudishe sasa hivi kabla sijachukua uamuzi kama wa mwaka juzi'mwizi akaogopa na akarudisha ile nauli.

baada ya hali kuwa shwari abiria wenzake wakamuliza babu kwani mwaka juzi ulifanyaje?akajibu'nilitembea kwa miguu tokasongea hadi makambako baada ya kukosa nauli'
 
Hii stori Imerudiwa, ila imebadilishwa kidoogo. Jiepushe kunakili kazi za watu bila idhini yao (Plagiarism).
 
babu kaibiwa nauli kwenye basi,akanza kutangaza 'jamani aliyeiba nauli yangu arudishe sasa hivi kabla sijachukua uamuzi kama wa mwaka juzi'mwizi akaogopa na akarudisha ile nauli.

baada ya hali kuwa shwari abiria wenzake wakamuliza babu kwani mwaka juzi ulifanyaje?akajibu'nilitembea kwa miguu tokasongea hadi makambako baada ya kukosa nauli'
1917084_1696860077237121_7992766724341133731_n.jpg
 
Back
Top Bottom